Usafi ni muhimu sana katika mapenzi.

Usafi ni muhimu sana katika mapenzi.

Truth will Remain

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
254
Reaction score
126
TRUE STORY.

Kuna demu nilikuwa namfukuzia karibia mwaka sasa,
siku nikakutana naye nikaimbishaa weeeee mwisho akakubali kuongoza na mimi hadi kwangu
tumefika tukapiga story mbili tatu,

tukaanza ufukunyuku.

mwanaume si unajua tena nilikuwa na nia y akutaka kumuonyesha kuwa muda wote uliokuwa unanisumbua ulikuwa unapoteza vitu vizuri,

nikaanza kumnyonya nyonya, nikiwa namnyonya mgongoni maeneo ya kiuno karibu na makalio si nikasikia harufu ya KINYESI!!!

huwezi kuamini apetite yote iliisha na hapo hapo nikazuga kuwa nina tatizo la ngiri na lilikuwa limenishika, n akama likinishika huwa siwezagi kufanya kale kamchezo tena,

KWA KWELI YULE BINTI NI MZURI SANA BUT INAVYOONYESHA ALIENDA CHOONI KUKATA GOGO HALAFU AKAJIFUTA NA TOILET PAPER BADALA YA KUTUMIA MAJI.

JAMANI KINA DADA MUWE MAKINI WAKATI MNAENDA KUKUTANA NA WENZA WENU, KOSA DOGO LAWEZA KUSABABISHA MAPENZI YAKAPUNGUA AMA KUISHA KABISA.
 
hahahha watatumiaje maji wakati kucha manicure buku 50
 
alafu una uhakika gani kuwa alienda kukata gogo je kama analiwagwa tigo
 
teh teh teh mabwaku,afadhali yako ungeyala hayo
 
ha ha ha ha ha ha ha jamani aya kucha za bandia haziitaji maji mara kwa mara ,.... kwa hiyo ukumgonga?
 
Inasikitisha sna,kwanini mnafanya mapenzi bila kuoga?
 
Hahaaaaa.. Ila ulikosea ungemwambia tu ukweli akajiswafi mechi iendelee
 
ha ha ha ha ha ha ha jamani aya kucha za bandia haziitaji maji mara kwa mara ,.... kwa hiyo ukumgonga?
Kumbe ukiwa na kuch za bandia hamtumii maji kujisafisha,aliahirisha mwenzako
 
Wewe mwanyewe mtoa maada ni mchafu ulianzeje kumnyonya kabla ya kuoga? Kabla ya kungonoka sharti kuoga kwanza amaaaaa!!!! Umaanza kulamba lamba tu
 
Khaaaaaaaa...
Ptuuuuuuuu...

Kwa nini msioge kwanza??
 
Back
Top Bottom