Usafi kwenye vyombo vya moto hasa daladala

Usafi kwenye vyombo vya moto hasa daladala

Paul Buchira

R I P
Joined
Aug 5, 2013
Posts
1,043
Reaction score
566
Ndugu zangu wana jamii wenzangu swala la usafi kwenye daladala,pikipiki,bajaji na kadhalika ..nani atupiwe mzingo??? Napata shida sana kwa baadhi ya hivi vifaa.
Tujadili kwa pamoja nini kifanyike??
 
Ustaarabu kwa sisi dunia ya tatu ni changamoto kubwa sana, kumbuka aliyechafua ni abiria mwenzako aliyetangulia kutumia chombo hicho cha usafiri,Abiria wenyewe sio wastaarabu unakuta mtu anakula ndizi ganda anatupa ndani ya gari, anakula karanga, mahindi magunzi anaacha ndani ya gari. Mfano haya mabasi yanayoenda mikoa mbalimbali ndio balaa unakuta yanapoanza safari ni masafi na siku hizi wanaweka mpaka disturb lakini ikifika mchana angalia chini ya viti utakuta kila aina ya uchafu kuanzia chupa tupu za soda, biscuit,pipi, mifuko ya kuhifadhia chakula na n.k na wengine wanatupa tu dirishani, inabidi muanze kuwapa elimu watu mnaoishi nao hili ni janga
 
Back
Top Bottom