USA

AFRI TALL

Member
Joined
Sep 19, 2026
Posts
6
Reaction score
1
Kwanza Mimi sinaga marafiki wanaovaa makatambuga
Arusha united state
Huu upuuzi upo kwenye kichwa cha Kila kijana ambae amezaliwa ukanda ambao ilikua yote ni Arusha ya zamani
Sasa vijana huu wehu wehu wenu, acha msifiwe huko kwingine lakini huku nyumbani lazima tuweambie MNALETA USSORRO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…