USA vs Russia: War in Ukraine

Mi naomba kujulishwa wananchi wanaoishi URUSI wana hali gaani kiuchumi , na wana maoni gaani dhidi ya kile kinachoendelea nchini kwao.?
 
Russia alikuwa anapewa sifa za uongo... Hii vita imemvua nguo... Ukraine anamwangaisha mpaka makamasi.... Hiv akiingia mtumbad mwenyewe(USA) Itakuwaje... Watu wengi wamekalili Russia bila nuke ni sawa na Rwanda tu....
 
Na wewe acha mahaba Russia ndo kashapigwa na anapigwa anakimbizwa mpaka border kwake... Russia mikwala tu hamna kitu
 
Unajua asilimia kubwa ya humu ndani sababu ya Russia kupambana na Ukraine hawaijua. Ila wao wameyajua yale yaliyozungumzwa baada ya huu mgogoro kuzuka.

Muhimu tuwapatie kalamu na daftari kisha watuandikie wanayoyajua wao kiini cha huu mzozo ni nini? Baada ya hapo ndipo tutaingia nao kwenye mjadala.

Uzuri hatuna udikteta, hivyo tuwaambie karibuni.
 
Sasa vita utapiga miundombinu ya raia?
Russia kakosa dira ndio maana vita hii anapigwa huko Ukraine umeshasikia Russia anamlalamikia Ukraine anapiga hospital au shule?.... Ukraine anapiga jeshi la Russia ndio maana wanakimbia kipigo
 
nchi 40 zimeungana kijeshi? unajua unachokiongea wewe? ukraine wamepewa tu silaha za kawaida za kumzuia urusi asifanye mashambulizi ila sio za kumpiga, Us akitoa silaha za kumpiga mrusi patachimbika mzee
 
USA angekuwa na akili kama za Urusi sijui km ungekuwa unatype kwa amani ss hv , USA hata akifanya mashetani yake basi huangalia stability ya dunia , ila Urusi hajali hilo
 
Russian is not second in military power anymore. Old age tech and WWII tacticts wont help.
Ukraine anaendelea ku receive misaada ya silaha day in day out . Watazid kuimarika . Hii vita itavhukua muda kuisha
 
Ukisema russia amewapiga NATO na ukraine you sound un-logical.
Nchi zote za NATO zinge tuma wanajeshi wake officialy kwa ardhi ya ukraine. Tena wangekuwa front. Halafu russia awa kung'ute sawasawa hapo ndio ungesema russia ni mwanaume.
Nato walichotuma ni silaha tu. Watumiaji ukraine.. hajawatuma troops
 
Sawa Kanali Schevekensi
 
Russian is not second in military power anymore. Old age tech and WWII tacticts wont help.
Ukraine anaendelea ku receive misaada ya silaha day in day out . Watazid kuimarika . Hii vita itavhukua muda kuisha
Be blessed
 
Volodymyr Zelensyy said he made a lot of mistakes

easternherald.com

Feb 24, 2023 9:14 PM

Volodymyr Zelensyy said he had made enough mistakes

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said he had made enough mistakes. He spoke about it during his press conference, but clarified that he had not made fatal errors that could lead to the death of the state.

In his speech, Volodymyr Zelenskyy pointed out that he works from morning to night, so he makes enough mistakes. In addition, at the conference, he said that Ukraine is ready to negotiate with Russia only on the basis of the five components of the Ukrainian “peace formula”. These include punishment, protection of life, restoration and safety guarantees, and determination.

Previously, US Secretary of State Anthony Blinken opposed a temporary ceasefire in Ukraine. The official said Russia is using any pause to prepare for subsequent attacks. At the latest meeting of the UN Security Council, Blinken said Security Council members should not believe in the “false equation” of a ceasefire and hostilities.
 
Aiseeeeeeeeeeeeeeeeee
Russia Ni kiboko
 
Naunga mkono hoja.
 
Hii Ni sawa na kusema, Jirani yangu bila hela aliyo nayo benki Ni maskini kama Mimi tu. Kinacho msaidia Ni wingi wa hela iliyoko benki.

Kwahiyo hiyo nyuklia Ni yake siyo yake.??!!! BTW kinacho ipa nchi military superiority Ni zana alizo nazo, nyuklia ikiwemo. US mwenyewe aliitumia kukomesha ubishi wa wajapani.
 
Mkuu miaka mitano tena? mwaka mmoja tu imebidi atumie mpaka makundi ya kigaidi Wagner group, wafungwa na vijana wa miaka 18-50, hiyo miaka 5 ata kutakuwa na nchi tena iitwayo russia?
 
Leo miaka mingapi iran iko ban na inapeta?

Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…