USA vs Russia: War in Ukraine

Kwa hiyo kushambulia mitambo ya umeme yaan civilian infrastructure ni sifa au aibu?
Huko Crimea uliona Ukraine wakishambulia civilian infrastructure?
Hizo ndio akili za Russian.
 
Russia bila nyuklia ni sawa na jeshi la msubiji.
Afunguke full mziki huyo Russia Kama ana huo udhubutu
Kumbuka Ukraine amepewa HIMARS ambazo they just hit within 70 km.
Vipi akipewa long range kombora akipiga civilian infrastructure within Russia?

Kwa kufupi Russian PUTIN anaogopwa kwa nyuklia tu
 
Akampige mama yake na hiyo nuclear .
 
Russia ku mdhibiti Ukraine Bila risasi haikuhitaji kibali cha Kiev, na Kiev hakutakiwa kujuwa kuwa anadhibitiwa......otherwise Russians are not brainy!.
Huu mgogoro unaufahamu vipi mpaka matokeo yake yamekuwa mada duniani?!

Nidadavulie kwa namna itakayokukadiria!
 
Jeshi la Ukraine kwa bara Ulaya nchi pekee iliyokuwa na uwezo wa kuweza kusimama naye kama vita vingeliibuka mbali na mtanange wa SMO anayoiendesha Russia ni Turkey peke yake. Haya si maoni yangu bali na ya wachambuzi wa kivita.

Kwa maana hiyo si UK wala member yeyote wa NATO ukimtoa US na Turkey aliyekuwa na uwezo wa kupambana na Ukraine.

Maelezo hayo machache ya juu unayaelewaje?

Halafu haya masuala hayahitaji mzizi wa mawazo. Dunia ni pana na haya masuala yametokea na kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu na nyengine zikawekwa kwa mfumo wa documentaries, vitabu n.k
Hivyo, this is not some rumors, or some conspiracy. This is something that is documented officially. Suala lilobaki ni ufuatiliaji wa mtu.

Wanaosema Russia ana nguvu ya kijeshi mbali na Nuclear inakubidi ufanye utafiti.
 
Kwa hiyo kushambulia mitambo ya umeme yaan civilian infrastructure ni sifa au aibu?
Huko Crimea uliona Ukraine wakishambulia civilian infrastructure?
Hizo ndio akili za Russian.
Ni vizuri tukasoma hatua kwa hatua na kabla ya kuzungumzia suala lenyewe inatubidi tulifahamu suala lenyewe. Inaweza ikawa tunajua maji kwa Sababu ya matumizi ila tukiulizwa maji ni nini tukashindwa kuyaelezea.

Binafsi nipo hivyo! Military operation ni nini?

Jawabu la swali lako limo humo ukiwa upo tayari kulijibu. Hatetewi mtu wala nchi! Tunachozungumzia ni athari ya kinachoweza kutikea baina ya Russia na Ukraine. Hicho ndiyo kivuli changu! Ukipozi kwenye mti wangu ujue aina ya mti niliyoupanda.
 
Sasa hapa tunaanza kudangañyana! kama Russia wangekuwa na uwezo huo, naamini hadi sasa wangekuwa wamefika makao makuu ya Ukrane.

Tukubali kuwa kuna haja ya Russia kukaa chini ma kutafakari mbinu zake upya,
 
Russian tunakubali rank second in terms of military power ndio maani tunashangaa siku tatu had passed bila kumkumbatia Ukraine
Discard or take it in there is a serious gaps/problem within Russia command line and it's tech doesn't get well with the tactics they are using kwa Vita hii.

Mavifaru forming 65 km chain to Kiev can you ask those robotic Russian generals didn't they first evaluate the impact of juvenile?...ona Ukraine akauacha msafara usonge ila msafari vanished.

Ukweli utabaki palepale Russia is a super power with no integrity leadership from executives to military personnel

I believe Ukraine will not be able to defend the entire regained territories...no wazi they will face some sort of logistic problems but if they have local civilian support in regained territories Russia will have to consider full escalation of this war to win back the trust and so the territories.

Urusi lazma afunguke kweli kweli otherwise she gonna be a loser
 
Now tell me how the war vs Smo differs in the context of the current Ukraine Russia crisis.
Draw a clear line where the Smo ends and Vita ni kipi hasa ukitiilia naamani mapigwano ya mzozoo hu?
 
Rubbish for trashcan.
 
Sasa hapa tunaanza kudangañyana! kama Russia wangekuwa na uwezo huo, naamini hadi sasa wangekuwa wamefika makao makuu ya Ukrane.

Tukubali kuwa kuna haja ya Russia kukaa chini ma kutafakari mbinu zake upya,
Ukizungumza hivi na ndipo linapokuja swali la msingi. Mlifuatilia hili baada ya mgogoro kurindima au tangu awali? Hii ni nukta muhimu sana!

Rais wa Russia kwenye hotuba yake alisema kuwa Russia inatangaza special military operation (SMO) hakusema ni vita. Swali muhimu litakuja military operation ni nini?

Nimeshaelezea hapo juu! Kwa ufupi wa fafanuzi ni kuwa special task ili kukamilisha jukumu maalumu. Jukumu ni lipi?

Rais akaliweka wazi ya kuwa lengo ya hii SMO ni (1) kuikomboa majimbo Mawili ya mashariki dhidi ya uonevu wa jeshi la Ukraine, (2) Denazification napo ni kuondoa Unazi Ukraine na (3) Demilitarize yaani kulipunguza nguvu jeshi la ukraine.

Hili ndilo lengo la Rais wa Russia. Hotuba ipo YouTube. Ukiihitaji nakupatia link, ina dakika 30+..
-Kiistilahi ya medani za kivita military operation inakuwa limited kwenye mashambulizi n.k na hii ni kulingana na task inayowakabili. Ndivyo inavyofafanuliwa na wenye kazi yao.

Sasa aiteke Kieve ili iweje?

Lengo la SMO na 1 ndipo huko aliposhikilia 30% ya ardhi ya Ukraine. Lengo na 2 ni kikosi cha Azov. Namba 3 ndipo huko anapiga miundombinu yote ya kijeshi ya Ukraine na ndiyo maana Ukraine inaomba msaada wa silaha za kijeshi kwa sababu ghala za kijeshi, kambi, viwanda n.k na ndio maana Ukraine ikawa inaficha silaha zake kwenye makazi ya raia na kwa hili anapambana na jeshi la Ukraine kwa pamoja.

Sasa labda unifahamishe aikamate Kieve ili iweje? Ukitamka Russia anafanya vita utakuwa umemzushia maneno ya uongo Rais wa Russia na umeizushia uongo YouTube.
 
Kinachoonekana husomi kinachoandikwa Bw. Mkubwa!

Jawabu lako lipo post # 34
 


see and learn
 
1. Hayo majimbo ni sehemu ya Ukraine au yalitekwa na Ukraine?
Ni upuuzi kumega nchi kwa kisingizio cha kukomboa sehemu ambayo sio ya nchi husika
Ndio maana twasema Putin ni mpuuzi
2. Vipi kuzuia Ukraine ujiunge Nato. NATO Expansion..hii ilikuwa ndio sababu kuu, there after Sweden na Finland zilipojiunga hoja ikakosa mashiko.
4. Kwani Smo na Vita huwa vina malengo tofauti? End result

Coverage: limited coverage in Smo kwa mipigano ya Russian na Ukraine iko wapi?Matumizi ya cluster bombs bado unaiita smo?

5. Kiufupi hata soko la silaha la Russia litaporomoka following this failure...haiwezekan super power to fail to dominate Ukraine airspace with all battery system call them s300 even to SXYZ air defense system.
6. So kyiv retreat was a planned move....uwe mkweli so you want to tell us ule msafara covering more than 65 km kwenye malango ya kiev ilikuwa just a military show to test how effective the US juveniles are!
Juveniles alisambaratisha msafara then you make u turn to donbas.
Again you are telling us Russia hawaja retreat from from recently karkiv and eastern Ukraine i.e regained area Bali ni planned move iliyohusisha kuacha silaha and abandon important supplies areas?

KWELI ROHO IKIPENDA HULA NYAMA MBICJI
 
Now tell me how the war vs Smo differs in the context of the current Ukraine Russia crisis.
Draw a clear line where the Smo ends and Vita ni kipi hasa ukitiilia naamani mapigwano ya mzozoo hu?
Wagiriki wanasema definition inafafanua maana ya kitu husika.

Military operation is the coordinated military actions of a state in response to a developing situation. These actions are designed as a military plan to resolve the situation in the state's favor. Operations may be of combat or non-combat types, and are referred to by a code name for the purpose of security. Military operations are often known for their more generally accepted common usage names than their actual operational objectives.


War is an intense armed conflict between states, governments, societies, or paramilitary groups such as mercenaries, insurgents, and militias.

Kwa maelezo zaidi baada ya fafanuzi hizo pitia post #34
 
Ewaaa! Sasa tumefika naelewa uko wapi!

Kama mimi nilivyokujibu na wewe nijibu!

Nielezee huu mgogoro wewe unauelewaje?

Umeunganishi mambo mengi kwa wakati mmoja.

Tuelezee huu mgogoro unauelewaje?
 
We mpumbavu namba moja, yani hakuna jeshi lisiloungana na Ukraine we kwa akili yako unahisi hio counter attack wanaifanya Ukraine? Kwa silaha zipi? Hapo wemepewa nguvu na NATO na silaha toka NATO washirika.

Ila still Russia ni mwanaume sababu amewakung'uta sana Ukraine wakishirikiana na NATO kwa muda mrefu mpaka wakaomba assist ya silaha NATO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…