The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,859
- 123,949
Iran sio waarabu ni waajemi,Waarabu hawana unyonge aisee [emoji28]
Tutawafahamisha hili jambo mpaka lini?
Iran sio waarabu ni waajemi,Waarabu hawana unyonge aisee [emoji28]
Hata ka usa ni keupe tuMnavyo kapaisha hako ka’iran mananiacha hoi sana[emoji23]
Iran sio waarabu,comment yako haiwezi kubadili hilo.Ni Islamic Jamhuria, Mashia.
Hata Mimi naisubiri kwa hamuHii ndio itakuwa big match ya karne