Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,143
Sifa kubwa ya hizo hypersonic ni kwamba ni rahisi kubadili target kuliko balistic...........................ndo maana linapiga vitu vilivyosimama na vinavyotembeaWanadhani aircraft carrier inakua imesimama tu baharini hawajui kama muda wote iko kwenye mwendo wa zaidi ya 50km/hr sasa sijui hiyo Hypersonic italipua vipi kitu chenye mwendo kasi kwenye eneo kubwa kama LA bahari.
Waje watuelekeze tunataka kufahamu.
Tuambie hiyo hypersonic ilitumika lini na wapi kupiga a moving target?!Sifa kubwa ya hizo hypersonic ni kwamba ni rahisi kubadili target kuliko balistic...........................ndo maana linapiga vitu vilivyosimama na vinavyotembea
na we tuambie ni wapi na lini iliposhindwa???Tuambie hiyo hypersonic ilitumika lini na wapi kupiga a moving target?!
Kinzhal haina uwezo wa kupiga moving target. Haiko very accurate hata kwa stationary targets.
Uongo. Cruise missiles ndio zenye uwezo wa kubadili direction kirahisi sababu ya engines zake, ukishakuwa na hata supersonic missile ya juu zaidi inakuwa vigumu kubadili direction. Mfano ramjet engines zina kasi kubwa ila haziwezi badili mwelekeo kirahisi na hazina range kubwa, mwishowe missiles nyingi zinaishia kuwa na jet engines.Sifa kubwa ya hizo hypersonic ni kwamba ni rahisi kubadili target kuliko balistic...........................ndo maana linapiga vitu vilivyosimama na vinavyotembea
Nimekutajia superpowers. Rudia kusoma, Japan aliwapiga wababaishaji Urusi, akaja akawapiga wanyonge China, akaja akawapiga wadhaifu Koreans.Ndio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama hao
Yaani unaenda kupigana na libya utegemee watazamisha karia ya Americant upigane na Syria utegemee watazamisha karia upigane na iraq utegemee kuzamisha karia
Katika mataifa yote aliopigana nayo marekani na shost zake nitaifa moja tu ambalo lilikua linajiweza huko kwengine kote kapigana na walemavu
Chifu, tusipoteze muda.Nimekutajia superpowers. Rudia kusoma, Japan aliwapiga wababaishaji Urusi, akaja akawapiga wanyonge China, akaja akawapiga wadhaifu Koreans.
Kisha akachokoza superpower Marekani. Marekani akatumia aircraft carriers kuivamia Japan na kuishinda. Vita ikapiganiwa kwenye maji, anga na ardhi ya Japan. Marekani akashinda.
Hutaki hilo unakimbilia Libya na Syria. Hutaki kusema Nazi Germany ilivyowashika pabaya USSR wakaombaomba kwa Marekani ndio wakashinda.
Tukiwa tunasema Us bila nyuklia sawa sawa na komoro au usheli sheli mue munatuelewaJapan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.
Akaota mapembe akaenda vamia US the real superpower akapigwa akachakaa. Wakati US anapigana na Japan, muda huo anatoa shehena ya misaada kwa wanyonge kama USSR ili wapigane na Nazi Germany, wakati huo anapigana kuikomboa Ufaransa na Ulaya. US alikuwa na vita theaters mbili zote akashinda.
Sasa US alipiga Japan ya vile alafu useme huwa anapigana na wanyonge. Mnyonge aliyepiga Urusi, China, Korea na wengine?
Kama US hapigani na superpowers, USSR iko wapi mbona walinyoosha mikono?
Kwani hao China na Urusi waliwahi mpiga superpower gani.
Umepewa utafte mwenyewe pia umegoma unataka tukakutaftie tena???Wewe na ndugu yako unganeni mtutajie jina la hiyo hypersonic missile. Hapo uliposhadadia umeshadadia hypersonic missile inayoitwaje?
Mnashangilia vitu ambavyo hata kuvitaja majina hamuwezi?
Maana yangu ni kwamba drones za bei yakawaida sanaDola 200 imekua drone ya Alibaba au?! Hizo shahed zenyewe zinarange dola 20k-50k.
Sikatai zimekua mali, maana hata Kremlin ilipigwa kwa drone ya dola 200[emoji23]
Ila ukraine inaungwa mkono na nato inaungwa mkono na G7Bhas kuanzia Leo uache kuzadharau Houthi kuifananisha na vikundi vingine kama Hamas au Hezbollah.
Hata Urusi inaungwa mkono na North Korea na Iran.
Wala hamna ulipokimbiwa mzee twende taratibuNimekutajia superpowers. Rudia kusoma, Japan aliwapiga wababaishaji Urusi, akaja akawapiga wanyonge China, akaja akawapiga wadhaifu Koreans.
Kisha akachokoza superpower Marekani. Marekani akatumia aircraft carriers kuivamia Japan na kuishinda. Vita ikapiganiwa kwenye maji, anga na ardhi ya Japan. Marekani akashinda.
Hutaki hilo unakimbilia Libya na Syria. Hutaki kusema Nazi Germany ilivyowashika pabaya USSR wakaombaomba kwa Marekani ndio wakashinda.
Au atwambie kama ikiibuka vita kati ya hao jamaa Americant atatumia hizo ngarawa zake kama alivyozikimbiza pale mido ist kwenda kuzipaki kuwatisha hamas[emoji3]Chifu, tusipoteze muda.
Nipe jibu moja, ndio au hapana.
Ikitokea vita ya moja kwa moja kati ya USA dhidi ya Russia. Unadhani USA ataibuka kidedea kama alivyoibuka kidedea dhidi ya Japan?
Russia ataivamia USA kwa kutumia nini. Kwenye hiyo vita Marekani ndio ataivamia Russia, sio Russia kuivamia Marekani.Chifu, tusipoteze muda.
Nipe jibu moja, ndio au hapana.
Ikitokea vita ya moja kwa moja kati ya USA dhidi ya Russia. Unadhani USA ataibuka kidedea kama alivyoibuka kidedea dhidi ya Japan?
Asante kwa elimu hii mkuu, nimeelimika.Russia ataivamia USA kwa kutumia nini. Kwenye hiyo vita Marekani ndio ataivamia Russia, sio Russia kuivamia Marekani.
Ukishakubali vita ipiganwe kwako, chances za kushindwa ni kubwa. Wewe unasema Marekani, sasa hata China tu anaipiga Russia.
Ashanijibu tayari. Majibu yake yameshanitosha.Au atwambie kama ikiibuka vita kati ya hao jamaa Americant atatumia hizo ngarawa zake kama alivyozikimbiza pale mido ist kwenda kuzipaki kuwatisha hamas[emoji3]
Yaani Americant anaenda kupaki karia kwa hamas ila anashindwa kueka no fly zone pale Ukraine ambayo kaombwa na zelensky zaidi ya mara moja
Vipi wewe huko nyumbani.View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
USA amemtangulia China kwa mbali sana kwenye naval warfare.View attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Una mpa kichwa tu USA kapigana wapi akiwa peke ake ? Kamwe haja wahi kupigana peke ake aka shinda kote uko kapitia mlango wa shoga zakeNdio maana ukaambiwa kama hizo ngarawa zinafanya kazi kwa vidagaa kama hao
Yaani unaenda kupigana na libya utegemee watazamisha karia ya Americant upigane na Syria utegemee watazamisha karia upigane na iraq utegemee kuzamisha karia
Katika mataifa yote aliopigana nayo marekani na shost zake nitaifa moja tu ambalo lilikua linajiweza huko kwengine kote kapigana na walemavu
Kama vile alivyo wakimbia Wasomali na watalibani .ashukuru atomic bomb maji yalikuwa yamesha fika shingoniJapan aliipiga Urusi, Marekani akaenda suruhisha. Japan tena akaipiga China na Korea kipindi hazijatengana Kaskazini na Kusini. Japan akapiga Philippines na Asia nzima akasumbua.