Weh matakooo nini!?
Trump wiki iliyopita ametoka kutamba mtandaoni kwamba anajua kila mahali anapokanyaga Ayatollah, tena akampa onyo Ayatollah kuwa akubali masharti aliyopewa na USA ama anyakuliwe na tukio la kunyakuliwa kwake lioneshwe live dunia nzima.
Mwenye akili za kijinga ni mimi au Trump!?