USA kuishambulia Iran karibuni

Iran ana wakati mgumu sana..cz hata kama ana nuke na akatumia basi anaweza kuwaumiza washirika wa marekani lakini kitakachofata ni nuke hatari za marekani kutua katika kila ardhi ya iran kama mvua
 
Trump bhana mbona mzito hivyo anapitwa hata na Netanyahu kwenye kujibu mapigo ya papo kwa hapo? Iran angedungua drone ya Israel siku nyingi kingeshanuka!
Kamulize Natanyahau drone yake iluangushwa au haikuangushwa alipo enda anga la Iran, au Natanyahu kasahau.

Hebu tazama aibu hi sijui Trump ataificha wapi.

Siri ya Trump kuzia leo mashambuli ni sababu Pilot aliye kuwa kiongozi wa zile fleet za F16 kuona Raddar Jamming system inamuonyesha kuwa Radar ya Iran hajawezia kuijam ni power full na yeye option zake ni ndogo aingie kichwa kichwa au vipi. Ndio hapa control room wakabidi wawaulize pentagoni,wa go fwd au wasubiri kwanza. Trump akaona bora asisogeze pua.
 
Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Mmmmmmhh Dada ile "kondoooooommoja" aliyovaaga shemela, una jua ni kwa msaada wa watu wa marekani?

Unaweza sema huipendi marekani ila kuna vitu unatumia with either tumepewa pesa za msaada tu anunua hivyo vitu ama tumepewa msaada wa hizo vitu.


Upende usipende marekani utaipenda tu[emoji1787][emoji1787]


Moderator naamini nimetumia lugha isiyoya maudhi.

Bila shaka Dada yangu umenielewa..

(kama nitakukwaza nisamehe, ila nimejitahidi sana kutumia lugha nyepesi)
 
Mkuu ni kweli kabisa,
Trump ni fundi wa kutishia ila kwenye moto lazima atizame mara mbili
Jana aliidhinisha jeshi kuvamia na mifumo ya ulinzi ya Iran lakin leo karudi nyuma kuomba jeshi lisifanye hivyo maana middle east leo kungekuwa hatar kila kona
Na US ameumia zaid na kuwapa maadui wengine wafanye yao.

 
Hizo no ndoto za Mchana!!!
 
Mdharau mwiba...........Usiwaunderestmate wairani. Wairan wanaongoza kwa Sayansi ya nuclear. Wewe unafikiri wangekuwa hohe hahe America ingekosa usingizi kwa ajili yao? Nilishakutana na wairan wachache wapo vere vere intelligent.
Ndoto za mchana endelea kuota!!!
 
Mi ndo nakwambia, hakuna cha vita. Watu wameshaona Marekani anaogopa vita. Wakisema waingie vitani Iran itaangamia sana. Iran anataka kujifanya kama Korea kaskazini tu.
So kwamba Marekani inaogopa Iran Bali nchi yoyote ila inapotaka kuingia vitani lazima uangalie vitu vingi na wala so kuingia kichwa kichwa tu!!
 
Trump bhana mbona mzito hivyo anapitwa hata na Netanyahu kwenye kujibu mapigo ya papo kwa hapo? Iran angedungua drone ya Israel siku nyingi kingeshanuka!
Kamulize Natanyahau drone yake iluangusha au haikuangushwa alipo enda anga la Iran, au Natanyahu kasahau.

Hebu tazama aibu hij sijui Trump ataificha wapi.

Siri ya Trump kuzia leo mashambuli ni sababu Pilot aliye kuwa kiongozi wa zike fleet za F16 kuona Raddar Jamming system inamuonyesha kuwa Radar ya Iran kashindwa kuijam. Naonagopo kusogeza pua missile ikamripua.
So kwamba Marekani inaogopa Iran Bali nchi yoyote ila inapotaka kuingia vitani lazima uangalie vitu vingi na wala so kuingia kichwa kichwa tu!!
Ni kweli maneno yako mstaafu wa JWTZ, USA ni super power lakini mara nyingi sana si kila super power wanashinda vita wako wapi ma super power wazamini.

Ukweli USA anaweza mpiga Iran lakini hasara ngapi watazipata, afu lazima ufahamu wa Iran ni Mashia nakatika kamusi yao wanajiita wajukuu wa Mtu wale Hassan na Hussein na wao wanasema ni wafuasi wa Hussein, yani wao kumwaga damu wanaona ni sifa na kufa ni sherehe kama sikukuu za Eid vile.

Kwa hio Mshia huwa haogopi kufa na hapo USA anajua wazi kabisa.
 

nmesoma status zote but yko ni nzito mno jpo wengi wanaweza wasiielewe
 
trump si huyo kichaa tayar mbona dunia inakalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…