Alikua anaendesha gari kasi zaidi ya inayotakiwa kisheria askari wakamsimamisha, hakusimama.
Walipofanikiwa kumsimamisha jamaa alikua yupo tungi kimtindo akawa anagoma kutiwa pingu. Askari walikua 6 au 8 sikumbuki vizuri. Wakaanza kusumbuana naye.
Kikaanza kipigo cha virungu, zikaja taser na kipigo tena. Kumbe kuna mtu alikua anachukua shooting lile tukio. Basi raia walivyoliona lile tukio wakakiwasha, vurumai nchi nzima.
Maandamano yalikua makubwa kiasi kwamba ikabidi nguvu iongezwe kusaidia kutuliza ghasia. Wakachukuliwa hao National Guards na reserve wengine.
Rodney King - Wikipedia