USA current military army tools and vehicles

exburnny

Senior Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
186
Reaction score
205
habari..Zenu wanJf
Na izi ndio zana ambazo mmarekani anafanyia kazi au kuzitumia kwa kweli yup vzuri
wale wa Nk mpooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
za kawaida sanaaaa

susi eiluma mwene bhulili
 
Kim Jong-Un,
Namnukuu " Risasi moja itakayoanguka kwenye ardhi ya NKorea kutoka kwa USA, Japan au South Korea ama mshirika wake yeyote; sisi Jamhuri ya Watu wa NKOREA tutajibu kwa vita kamili.

Tena, USA atambue kuwa; Sisi Jamhuri ya Watu wa NKOREA siyo kama Warabu.

Keep it up Boy, Kim Jong-Un.
 
Hili game linawababe, hujuma na ufitinishaji wa USA na vibaraka zake ni lazima ufike mwisho.

North Korea aendelee kuweka mizigo mezani kisha tuchambue mzigo wa kupiga kila nchi.
I mean, mzigo kwa ajili ya USA, South Korea, Japan na vibaraka wengine.

Mfano, Japanese hydrogen bomb inawatosha ili tuvisiwa twake tote tuzame baharini.

South Korea, wapokee mizinga ya masafa mafupi.

USA azawadiwe, mabusu moto moto ya Hydrogen bomb kisha achanganyiwe na ICBM za ukweli.

Baada ya hapo, ndiyo tuitishe kikao cha UN Security Council kwa uhalali maana, sasa hivi naona mbwembwe tu kutoka USA ambaye hana huo uwezo wa kivita bali anategemea washirika wake.

Lazima.heshima irudi siyo huu ujinga wa USA kuvamia kila nchi na kujifanya eti ndiye Mungu wa dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…