MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,033
- 64,844
Tangu Obama aingie madarakani,
Sera zenye kuendana na siasa za Kimarxist zimatawala Marekani.
Democrats wanawia kuanzisha miradi ya Afya ya bure (Obama) na Elimu ya bure (Bernie Sanders).
Na sera yao ya mambo ya nje imejawa na vinasaba vya Ubinadamu zaidi kabla ya kuweka mbele maslahi ya taifa. Bernie Sanders mpaka sasa anamsifia Bill Clinton kwa kufanya uvamizi wa Kossovo ambao ulikuwa umejaa Ubinadamu (Humanitarian factors) kabla ya Maslahi ya taifa (National Interest)
Sasa iweje taifa kama hili liwe la kwanza kumtukana kumsema Mchina siyo Market Economy wakati wao wenyewe wanataka kuelekea kwenye Command Economy?
Ikumbukwe kilichoifanya Marekani iwe taifa tajiri kuliko yote duniani ni sera za kijamaa ambazo alizitumia raisi Franklin Delano Roosevelt kipindi ambacho Marekani ilikuwa imepatwa na anguko la kiuchumi.
The New Deal ya Roosevelt gaazeti la The National Interest katika toleo lake la terahe 14 October 2015 inaitaja kama " America's Flirt with socialism". Wamarekani wengi hawataki kukubali moja kwa moja kuwa kuna Ujamaa mkubwa Marekani. Wao wanaita promotion of social welfare.
Wanazuoni wao wengi wanaita Western Marxism kama Social Democracy.
Social Democrats kama Dr Antony Giddens kwenye kitabu chake Maarufu kinachoitwa (The Third Way: The Renewal of Social Democracy) anasema "we are creating a society which pursues market forces yet at the same time it does not leave any person behind".
Kwa maana nyigine masikini inabidi wakumbukwe katika uchumi. Na katika kufanya hili ni lazima mkono wa serikali uingilie kati katiaka baadhi ya mambo.
Hii ni moja tabia ya uchumi wa Kijamaa.
Sasa kwa wale washabiki wa siasa za kimataifa bila kufuata ukweli wa mambo.
Uchumi wa mataifa ya Magharibi unaelekea kwenye Ujamaa. Penda usipende wenye nchi zao ndiyo wameamua iwe hivyo.
Hebu jiulize hivi kwanini mwaka 1984 Ronald Raegan alishinda uchaguzi wa Marekani kwa asilimia nyingi sana kwa kuleta sera za kibepari dhidi ya mpinzani wake Walter Mondale ambaye alikuja na sera za social democracy. Lakini mwaka 2008 raisi Barack Obama alishinda kwa kishindo kwa kuleta sera za kijamaa dhidi ya mpinzani wake mwenye sera kali za kibepari John McCain?
Mwaka 1998 Tony akiwa Washington aliwahi kusema "The Pre-existing ideologies have lost their resonance: We have to manage the change that promote social solidarity and prosperity"
Hapa alizungumzia kwamba kwa kiasi fulani ni lazima serikali iwe na mkono kwenye maisha ya watu wake. Hili haliruhisiwi kwenye Uchumi wa kibepari wanaona ni kansa.
Kwenye uchumi wa kijamaa kina kitu kinaitwa Centralized Economic Planning. Yaani uchumi unapangwa na serikali wakati kwenye Ubepari kuna Free Market Enterprise ambapo Uchumi hupangwa na taasisi binafsi kubwa.
Cha kuchekesha kuhusu hili mwanauchumi Mkubwa duniani E.M.F Durbin alishawahi kesema " We are all planners now, the collapse of faith in leisser faire has proceeded with spectacular rapidity all over the world since world war"
Lakini hawa hawa watu wanodoka keki ya Ujamaa wanakuja leo wanaituka China na kusema siyo Market Economy kwasababu tu Uchumi na soko unapangwa na serikali.
Je , hili linaingia kichwani kwa mtu wa mwenye akili timamu?
Mwaka 2012 World Bank ilisema kwamba China siyo developed Country kwasababu tu Uchumi siyo wa watu lakini ni wa serikali. Hivyo serikali ikija kutetereka kiuchumi ni lazima watu watatereka kiuchumi pia. Mfano mzuri ni USSR na hata Tanzania yetu.
Lakini hawahawa wanasahau kwamba taasisi binafsi za kibiashara zinategemeana sana na serikali. Pasipo na taasisi binafsi maendeleo ya nchi huwa duni sana na pasipo na serikali taasisi binafsi haziwezi kufanikiwa.
Mfano: Mitikisiko yote ya kiuchumi ya dunia kuanzia 1873, 1929 na 2008 ilisababishwa na taasisi binafsi na hivyo kupelekea hata serikali kuanaguka.
Sasa kwa wale wenye mahaba ya kijinga angalia alichosema mwanauchumi Raisi mstaafu wa Bank ya Dunia James Wolfensohn kwenye speech yake ya (The Monumental shift in Economic Power) ambapo namnukuu akisema "In the next 40 years, today's leading countries will go from having 80% of the world's income to 35%" Lakini hili linatoke haraka hata kabla ya miaka 40.
anaendelea kusema:
"By 2030, two-thirds of people in the world's middle class will be Chinese. These are not trivial changes — they are tectonic changes in the way the planet works. In my generation we didn't have to think about it. We knew we were a rich country."
Hii mada hata chuoni ilileta uhasama kwasababu wahusika walikuwa hawataki ukweli lakini ndiyo hali halisi. Na hata somo hili wengi walitokea kufeli sana.
Sasa kwa wale wanaokuja kupotosha ummah aidha kwa makusidi au kutokujua: Japo naamini ni kutokujua kwa Mwafrika na madhara ya Ukoloni: Dunia inabadilika sana hata Africa nayo imeingia kwenye Economic Race.
Uni-polarityis whithering away.
Tujitahidi kuwa tunaangalia mambo bila mahaba.
Mimi siichuki U.S.A kwasababu Elimu yangu ina uhusiano mkubwa sana na Waingereza na Wamarekani. Lakini kwenye ukweli hata Professa wangu wa somo ambaye ni Mzungu alitupenda sana mimi na jamaa yangu moja Mchagga kwa kupenda kusema ukweli na kuto pelekeshwa.
CHINA'S JUGGERNAUT IS ON THE MOVE AND IT HAPPENS EVEN THE AMERICAN COLOSSUS CANNOT STOP IT.
ITS A FACT, KILL YOURSELF IF YOU CAN'T TAKE IT.
CC: Bukyanagandi , Masunga Maziku , Dotworld , Consigliere , MOTOCHINI