USA baby....

Msalimie brother wangu wa damu Mr Mandingo
 
Watu bwanaaa yaan mtu kazaliwa matombo huko afu anajikuta wa marekaniiiii!!!!! Ufike mda tujikubali na Nchi yetu kaa
 

Nyie wabongo msidanganyike na hiyo mipicha ya USA BABY; mnaona hao jamaa wanaolala barabarani kwani hawana mahala pa kulala afadhali nyie mnazo nyumba zenu mabondeni!!! Komaeni hapa hapa bongo huko majuu waacheni wakina mkweree wenye hela za wizi waende kubembea!!
 

Hakuna wala vumbi wasio na makazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…