US yajaribu 30kW Laser Weapon, Kama Star Wars

ha ha ha,mi sijasema hiyo silaha haipo,nachosema sio ya HATARI Sana kama mleta uzi alivotaka kutuaminisha,pia imewekwa hapo persian gulf kukabiliana na drone za iran ambazo zilikua zina monitor kila manowari ya marekani iliyokua ikiingia hapo gulf
 
Is not a big deal ndo maana ata taget yake ni kwenye small vehicles....Very expensive to operate hiyo 30KV ni umeme mkubwa sàna nadhan bado missiles ita play a big role
 
ha ha ha,mi sijasema hiyo silaha haipo,nachosema sio ya HATARI Sana kama mleta uzi alivotaka kutuaminisha,pia imewekwa hapo persian gulf kukabiliana na drone za iran ambazo zilikua zina monitor kila manowari ya marekani iliyokua ikiingia hapo gulf

Kama bastola ama gobore ni hatari unasemaje hiyo sio hatari?!
 
Hizi weapon grade laser units zimekuwemo katika arsenal ya US Navy kwa muda mrefu tu, labda ilikuwa haijaripotiwa, lakini siyo kutu kipya kabisa. Silaha hizi zimekuwa hazijafikiriwa kuwa deployed siyo kwa sababu ya energy requirement kwa sababu 32Kv zinaweza kuzalishwa kwa kutumia Nuclear power generator kwenye submarines. Sababu kubwa iliyofanya zisitumike ni stray effects zake; yaani inakuwa kama kumkaanga sisimizi juani inabidi nawe ukae juani
 
Hahahaha....kila Pro.NATO wakiona umetia timu wanajificha nyuma ya kichaka cha nyasi yaani unapiga kwenye mshono kabisa
 
Back
Top Bottom