Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
- Thread starter
- #21
Matokeo yake ni kwamba china atapoteza mabilioni ya pesa aliyokua anayapata kutokea marekani. Pia Marekani atasogeza rasilimali zake za kijeshi karibu na uchina.
Nyoka...nilikwambia it's a very complex issue with none direct answer, unaona Mchina amejibu mapigo hapo chini..