Us Treasury Imposes Sanctions on Chinese Bank Over NK Ties

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031
30dc-sanctions-articleLarge.jpg

Treasury Secretary Steven Mnuchin

WASHINGTON — The Trump administration has imposed sanctions on a Chinese bank, a Chinese company and two Chinese citizens in an effort to crack down on North Korea’s financing and development of weapons of mass destruction.

The sanctions follow the death of Otto F. Warmbier, an American student who was imprisoned by North Korea, and come as frustration grows in the United States government over the North’s missile tests.

The most significant action is directed at the Bank of Dandong, a Chinese lender that Treasury officials say acts as a conduit for illicit North Korean financial activity and money laundering. The department’s Financial Crimes Enforcement Network is moving to sever the bank from the American financial system, which would severely limit its ability to work with other banks around the world.

“We will follow the money and cut off the money,” Steven Mnuchin, the Treasury secretary, said Thursday during a briefing at the White House..

U.S. Imposes New Sanctions Over North Korea Ties
 
duh! inamaana watani zao wanavyotishia kuacha kutrade kwa dollar trump hasikii or?
 
USA wana hisi vikwanzo ndio dawa watakuja kukosa kitu cha kumuweka mtu kikwazo na kwenye vita washindwe wenda!
 
Trump sijui kaamua kuuchuna tu saa na maneno, ni vitendo kwa kwenda mbele..

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump alitoa siri kua wamarekani wanapoteza mabilioni ya dolla kwa uchina ili kuipa nafasi ya kuishinikiza korea kaskazini iachane na mpango wake wa nyuklia.

Maana yake ni kwamba china na makampuni yake yamepewa upendeleo marekani ili serikali ya uchina iibane korea kaskazini. Lakini sasa china haitekelezi makubaliano hayo kwa miaka nenda rudi.

Sasa Trump anaiwekea vikwazo china na kuondoa huo upendeleo na ataishughulikia korea yeye mwenyewe.

Naona china kaanza kujitutumua kwa kukataza bidhaa toka korea kaskazini lakini Trump uvumilivu ushamshida sasa ni vikwazo tu kwa kwenda mbele.

Trump hana mchezo. Bado kuna mlolongo wa vikwazo unafuata. China na urusi hawana pa kuponea juu ya vikwazo vya marekani.
 
Naona ameamua kwenda kwa Mchina directly sasa. Matokeo sijui yatakuwaje.
Mchina nae itakuwa inamuia vigumu kukata maslahi yake. Hii issue ni complex.
 
Matokeo yake ni kwamba china atapoteza mabilioni ya pesa aliyokua anayapata kutokea marekani. Pia Marekani atasogeza rasilimali zake za kijeshi karibu na uchina.
 
Kama kunamchumi ajitokeze tujadiliane hi hoja

Marekan inajiwekea hali ngum kuliko inavyo ona sasa
Trump atapingwa sana na wafanyabiashara wakubwa ambao wanaiyangalia dunia pande zote
 
USA wana hisi vikwanzo ndio dawa watakuja kukosa kitu cha kumuweka mtu kikwazo na kwenye vita washindwe wenda!
Kwa nini hujiulizi wao Russia na China wameshindwaje kuiwekea vikwazo marekani?.Super power always anacheza karata zake atakavyo.Kuna siku utapoacha siasa utaelewa tu mkuu,worry out.
 
duh! inamaana watani zao wanavyotishia kuacha kutrade kwa dollar trump hasikii or?
Siyo rahisi hivyo kama wanavyosema,hata wao wanajua hilo kwamba ku replace dollar is not a overnight job.Hayo ma chineese Yuan tutayapata wapi ya kutosha kuagiza mizigo kutoka china.Em leo jaribu tu kutafta Yuan hata elfu 50,000 kwenmye market kama utapata kirahisi.
 
wao wenyew wanajua sema wanatishia nyau
 
wao wenyew wanajua sema wanatishia nyau
Sawa sawa na wale wanaosema BRICS itaireplace IMF,Huwa nawacheka sana asee.Yaani Institution iliyokita mizizi kwa zaidi ya miaka 50 ije kuwa replaced overnight na institution ya nchi 5?.
 
BRICS yenyew wanaojiweza ni china na india tu wengine matatizo matupu
 
Kwa nini hujiulizi wao Russia na China wameshindwaje kuiwekea vikwazo marekani?.Super power always anacheza karata zake atakavyo.Kuna siku utapoacha siasa utaelewa tu mkuu,worry out.
Mkuu Russia Na china siyo nchi za kubenza speed anayo kwenda nayo mchina siyo ndogo ni ya maajabu imefika mahali ambapo USA hataki Mchina aone ata Kwa macho kitu chake ukihudhuria maonyesho ya vifaa mbali mbali Kama USA atakuwa Na vitu vyake utakuta amebandika bango hakuna kupiga picha ukimuuliza kwanini Ana kuambia hawa wachina siyo watu wazuri kabisa akipiga picha tu inamtosha kutoa copy
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom