Us sends 100 combat troops to uganda as advisors

BabuK

JF-Expert Member
Jul 30, 2008
1,845
327
The Obama administration announced plans on Friday to send about 100 U.S. combat forces to Uganda to act as military advisers to Ugandan and African Union forces fighting the Lords' Resistance Army (LRA). The U.S. forces will lend assistance to other central African nations trying to apprehend the LRA's top commanders and bring them to justice, and to bring about an end the group's two-decade campaign of atrocities and destabilization of the region, the administration said. President Obama announced the decision in an official notification letter to Congress Friday. In the letter, Obama said that he had sent the initial team of armed U.S. combat troops to Uganda on Oct. 12. He explained that the rest of the roughly 100 military advisers would be deployed over the next month to Uganda--as well as to the neighboring countries of South Sudan, Democratic Republic of Congo, and the Central African Republic.
He also said that while U.S. troops would be authorized to use force for self defense they are not operating under an explicit combat mission.
"For more than two decades, the Lord's Resistance Army (LRA) has murdered, raped, and kidnapped tens of thousands of men, women, and children in central Africa," Obama said in the letter. "In furtherance of the Congress's stated policy, I have authorized a small number of combat-equipped U.S. forces to deploy to central Africa to provide assistance to regional forces that are working toward the removal of [LRA commander] Joseph Kony from the battlefield."
"On October 12, the initial team of U.S. military personnel with appropriate combat equipment deployed to Uganda," the letter explained. "During the next month, additional forces will deploy, including a second combat-equipped team and associated headquarters, communications, and logistics personnel. The total number of U.S. military personnel deploying for this mission is approximately 100."
The deployed American forces "will act as advisors to partner forces that have the goal of removing from the battlefield Joseph Kony and other senior leadership of the LRA," Obama wrote, adding that their role will be to "provide information, advice, and assistance" to troops from partner nations in the region. Some U.S. troops may "deploy into Uganda, South Sudan, the Central African Republic, and the Democratic Republic of the Congo," Obama also said, if those governments agree.
The Lords' Resistance Army has been accused of killings and committing widespread atrocities against civilians, and the abduction of an estimated 3,000 children, in its two decades of warfare against the Ugandan government.
Its top commander, Joseph Kony, 50, "styles himself as a prophet and spirit medium and practices a blend of mysticism and apocalyptic Protestant Christianity," the Washington Post's William Branigin wrote Friday. "He formed his Lord's Resistance Army from the remnants of the Holy Spirit Movement, an armed group led by his aunt that fought the Ugandan government in the late 1980s."
Kony and four deputies are the subjects of arrest warrants issued by the International Criminal Court in the Hague in 2005.
 

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,412
58,019
[h=2]Obama aagiza majeshi ya Marekani kumsaka Joseph Kony[/h] Majeshi ya Marekani yatashirikiana na wanajeshi wengine walioko Afrika ya kati kumsaka Joseph Kony .

RTRObama+iran.480.jpg
Picha REUTERS
Rais Barack Obama.


Rais wa Marekani Barack Obama anapeleka kikosi cha wanajeshi wapatao 100 wa Marekani kusaidia kumsaka kiongozi wa kundi la waasi la Lords Resistance Army nchini Uganda.
“Nimetoa agizo kwa kikosi kidogo cha wanajeshi wa nchi kavu kwenda Afrika ya Kati ili kusaidia majeshi ya kanda hiyo kumwondoa Joseph Kony kutoka kwenye uwanja wa mapambano”. Obama alisema hayo kwenye barua yake kwa spika wa bunge John Boehner na Daniel Inouye rais wa baraza la seneti .
“Ninaamini kupeleka majeshi haya ya Marekani ni kutekeleza zaidi matakwa ya usalama wa taifa la Marekani na sera za nje na itakuwa ni mchango mkubwa katika juhudi za kupambana na LRA huko Afrika ya Kati”.
Obama aliongeza kwamba kundi hilo limeuwa , kuteka nyara maelfu ya watu wanaume , wanawake na watoto huko Afrika ya Kati. Na kuendelea kufanya unyama kwenye Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Sudan Kusini na zina athari isiyo sawa kwenye usalama wa kanda hiyo”.
Amesema Marekani imeunga mkono juhudi za kijeshi kwenye kanda hiyo tangu mwaka 2008 kuwasaka Lord’s Resistance Army lakini hawakufanikiwa. Wanajeshi wa Marekani watasaidia majeshi yaliyoko kwenye kanda hiyo ambayo yanafanya kazi kumsaka Joseph Kony na viongozi wengine wa juu wa kundi hilo. Rais amesema majeshi yake hayatapambana na Joseph Kony isipokuwa tu ikibidi kwa kujilinda.
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,336
hivi mnajua joseph kony yuko congo ituri ambapo kuna one of the major unexplored african oil reserve (in the albertan rift)?
 

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
Hiyo order ilitolewa since Bush era na makomandoo walihangaika sana kumsaka jamaa hadi wakachoka

Its not a new order.... its just a media flip to release some pressure
 

Ligogoma

JF-Expert Member
Aug 27, 2010
3,478
6,164
Habari wana JF???

Leo asubuhi vyombo vingi vya habari vimezungumzia habari ya Marekani kupeleka majeshi nchini Uganda kwa minajili ya kumtokomeza kabisa Joseph Kony na kundi lake la Lord Resistance Army!

Marekani yenyewe imesema itatumia vifaa vya hali ya juu vya kujua wapi Kony alipo ili ama auawe au akamatwe!

Je tuseme ndiyo mwisho wake umefikia??? Mchezo mwingine unaanza huo tena East Africa baada ya wa Libya kuonekana unaelekea ukingoni!!!

Nawasilisha
 

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,124
523
Habari wana JF???

Leo asubuhi vyombo vingi vya habari vimezungumzia habari ya Marekani kupeleka majeshi nchini Uganda kwa minajili ya kumtokomeza kabisa Joseph Kony na kundi lake la Lord Resistance Army!

Marekani yenyewe imesema itatumia vifaa vya hali ya juu vya kujua wapi Kony alipo ili ama auawe au akamatwe!

Je tuseme ndiyo mwisho wake umefikia??? Mchezo mwingine unaanza huo tena East Africa baada ya wa Libya kuonekana unaelekea ukingoni!!!

Nawasilisha
Jamaa ndo wanajisogeza kisanii.
 

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,110
2,466
LOOH!,hawa watu ni wapenda vita kweli.
1.Wamejiridhisha kwamba Alqaeda waliyoiunda wameiuwa.Sasa ni vita tu kwa kila mtu.
2.Hivi kweli Joseph Kony ni tishio kwa nchi zote za Afrika ya kati mpaka waje wamarekani kumsaka.
3.Na hivi kweli Joseph Kony kauwa watu wote hao.
4.Na jee ni wengi kuliko wale inaouwa Marekani yenyewe maeneo mengine iliko vitani.

Katika hili tangazo la Obama sijaona pahala ameombwa na Uganda au nchi nyengine alizozitaja kupeleka majeshi yake.Au Marekani sasa haihitaji tena ruhusa wala kuombwa katika vita vyake kote duniani?......ndio kutekeleza new world order huku.
 

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,601
1,225
Mr. Kony now it's your turn to face the wrath of the AntiChrist. Licha ya kuwa "msemaji wa Mungu" sasa Kony upo hatarini kulipuliwa na kereng'ende (drones) za wamarekani. Jasho litakutoka. Umeyataka mwenyewe. Sikuonei huruma!
 

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,406
23,581
hivi hamjui kama uganda kuna mafuta?na serikali ya uganda mwaka jana ilikua kwenye halakati za kuchimba mafuta.so usa wanajenga urafiki.tanzania bush alishamalizana nayo so uganda ndo ilikua imesalia.nakuhakikishia hao wanakuja kuipeleleza uganda na hawatamkamata harakaharaka,itawachukua mda ili waendelee kuchunguza mambo yao.roger
 

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,601
1,225
hivi hamjui kama uganda kuna mafuta?na serikali ya uganda mwaka jana ilikua kwenye halakati za kuchimba mafuta.so usa wanajenga urafiki.tanzania bush alishamalizana nayo so uganda ndo ilikua imesalia.nakuhakikishia hao wanakuja kuipeleleza uganda na hawatamkamata harakaharaka,itawachukua mda ili waendelee kuchunguza mambo yao.roger
Wamarekani hawana haja ya kuipeleleza uganda. Museveni anawapa siri zote bila wasiwasi, kama ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrica hivi sasa!
 

Ami

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
3,110
2,466
Mr. Kony now it's your turn to face the wrath of the AntiChrist. Licha ya kuwa "msemaji wa Mungu" sasa Kony upo hatarini kulipuliwa na kereng'ende (drones) za wamarekani. Jasho litakutoka. Umeyataka mwenyewe. Sikuonei huruma!

Kumbe ndivyo zinavyoitwa kwa Kiswahili.
Hizi keren'gende ni balaa kweli.Zinavizia kimya kimya wanaoziongoza wako Marekani.Kwa hapa kwetu Afrika mashariki na kati zitaanza kupiga maeneo ya Mbezi kunakotajwa kuwepo wasomali.Tanzania kama Uganda watapongeza au watakaa kimya kazi ikianza.
 

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Feb 9, 2007
433
117
It's a good move towards peace in Uganda

uga_museveni_oil.jpg
President Yoweri Museveni examines a sample of oil extracted from Waraga-1
Lakini isije kuwa ni namna ya ku-convince Uganda itoe contacts for USA explorers kuhusu mafuta
 

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,370
4,292
Mafuta ya Uganda yananukia, Ingawa kweli Konyi amefanya uhalifu mwingi, lakini walikuwa wapi siu zote hizo? !

Kweli, bana. US wako tayari hata kusaidia ujenzi wa miundo mbinu ya "Northern corridor"

Baada ya ujio wa "washauri" tutasikia Al shabaab wamejiingiza Tanzania na washauri hawa watakuja kutushauri jinsi ya kuwashughulikia "magaidi".

Tembelea hii
BBC News - US to send troops to Uganda to help fight LRA rebels

Increased Regional Trade and Integration | USAID East Africa Regional Mission

The Permanent Secretariat of the Transit Transport Coordination Authority of the Northern Corridor
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom