Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,358
- 33,524
Subiri tu utaona hivyo vinchi vitakavyokongoroka economically, wewe huwezi amini. Ukimlaan Israel impacts ni mbaya.
haya ngoja nisubiri brazil ikifirisika.nitoe angalizo tu brazil na hizo zingine ni mataifa yenye idadi kubwa ya wakatolic duniani.wamempokea yesu,sasa sijui itakuaje.