US says Kagame should go when term ends in 2017

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Part-WAS-Was8968673-1-1-0.jpg

United Nations (United States) (AFP) - Rwandan President Paul Kagame must set an example for his region and step down at the end of his term in 2017, the US ambassador to the United Nations said Tuesday.

Samantha Power spoke after Rwanda's senate last month passed a constitutional amendment that would allow Kagame to run for a third term in 2017, and potentially remain in power for the next two decades.

"President Kagame has an opportunity to set an example for a region in which leaders seem too tempted to view themselves as indispensable to their own countries' trajectories," Power told a news conference.

"Nobody is indispensable," she added.

"We expect President Kagame to step down at the end of his term in 2017."

A strong US ally in East Africa, Kagame has run Rwanda since his rebel army ended the 1994 genocide and ousted Hutu extremists.

He won elections in 2003 and 2010 and under the current law is due to step aside in 2017 at the end of his second term.

But earlier this year, more than 60 percent of voters signed a petition calling for constitutional changes that would allow Kagame to stand again.
Kagame's aides have insisted that any bid for a third term would be in response to "popular demand."

Power noted that while there were manoeuvrings in parliament to extend his rule, Kagame had not made his intentions clear.

"We really do expect President Kagame to follow through on the commitments he has made many times in the past to allow the next generation of leaders to come forward," she said.

Her remarks came as the UN Security Council is moving to stamp out months of deadly violence in neighboring Burundi sparked by President Pierre Nkurunziza's bid for re-election.

The 15-member council is considering a visit to Burundi to highlight international concern for the country that was torn apart by war from 1993 to 2006.

Source: AFP
 
They "US" do have their democracy
Them "Rwandans" do have their own democrasy
 
They are the reason we are the way we are. Let them keep their UN we keep Rwanda. bona
 
Last edited by a moderator:
I may disagree with Kagame but this is not okay. They should fix their democracy too, cause US democracy isn't as clean as they like to portray it
 
the biggest problem in africa is their leaders who want to over stay in power - museven....... how ironic
 
US ni nani katika UN mpaka aamuru nani aongoze wapi na wakati gani katika nchi za ulimwengu? Ndiyo maana kuna haja ya kuangalia upya uanachama wetu katika jumuhia hizi za kimataifa kama zina manufaa...!
 
fdlr mnahangaika sana eti "us" kwahiyo ikiwa us kasema ndo iweje sasa?
bunge la rwanda limeshapitisha mabadiliko ya katiba itakayomwezesha kagame aendelee madarakani ili azidi kuwanyosha nyie interahamwe, na mtafia maporini ***** zenu!
 
US ni nani katika UN mpaka aamuru nani aongoze wapi na wakati gani katika nchi za ulimwengu? Ndiyo maana kuna haja ya kuangalia upya uanachama wetu katika jumuhia hizi za kimataifa kama zina manufaa...!

Kwa kweli, hapo ndipo utata wa demokrasia unapokuja. Kwamba kama wananchi wameamua wanayemtaka,kwanini iwe tabu kwa US? hawa watu wanatizama maslahi yao na sio ya wa Rwanda. Ambacho ningetamani kusikia ni wao kushauri uchaguzi ufanyike kwa uhuru na wapinzani wapewe nafasi na haki ya kushiriki uchaguzi bila vitisho na kuwepo na tume huru itakayosimamia uchaguzi. Ila maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe. Demokrasia ni kuheshimu mawazo na maamuzi ya walio wengi.
 
Jamaa angestep down tu,sababu hilo halitaishia hapo,watakuja wengne watataka kubadilisha katiba ili waendelee kukaa kwenye madaraka na huo utakua ni muendelezo wa mauji ukiachalia yale ya kimbali
 
Kwa kweli, hapo ndipo utata wa demokrasia unapokuja. Kwamba kama wananchi wameamua wanayemtaka,kwanini iwe tabu kwa US? hawa watu wanatizama maslahi yao na sio ya wa Rwanda. Ambacho ningetamani kusikia ni wao kushauri uchaguzi ufanyike kwa uhuru na wapinzani wapewe nafasi na haki ya kushiriki uchaguzi bila vitisho na kuwepo na tume huru itakayosimamia uchaguzi. Ila maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe. Demokrasia ni kuheshimu mawazo na maamuzi ya walio wengi.

The thing is, wamarekani wanaelewa kuwa hayo 'maamuzi ya wananchi' ni geresha. Hakuna demokrasia Rwanda.
 
In democracy the source of authority of the government should be based on the consent of the governed. Ndio maana kuna uchaguzi,na ndio maana nimesisitiza washauri pengine kuwepo na political equality na wagombea wote wapewe usawa wa kushiriki. Wananchi waamue kwenye sanduku la kura nani awe Rais wao. Kama demokrasia inatambua uwepo wa vyombo vya uwakilishi wa wanachi na kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho inapaswa ikubali kuwa wakati mwingine wananchi wanaweza kuamua tofauti na kanuni za demokrasia kuhusu muda wa kuongoza, kwamba wananchi wakampenda mno kiongozi wakaamua aendelee tu kwa kazi nzuri aliyofanya.Wamarekani waliwaambia pia wananchi wa Libya, watu wa Iraq na Syria la kufanya,leo hii wanasuasua kupokea wakimbizi. Watu wa Rwanda waamue wenyewe wanachotaka.

Kama hakuna demokrasia Rwanda wasema wazi na wawaeleweshe watu wa Rwanda ila mwisho wa siku wawachie wafanye maamuzi yao kwakuwa matokeo ya maamuzi yao watayaishi wao wenyewe watu wa Rwanda.
 
Nani kampa USA nafasi ya Kuwa baba wa Africa? USA imuache RAIA wa Rwanda aamue anataka kuongozwa na nani.
 
kwa africa demokrasia ni tungo tata sana, demokrasia gan kwa tunayoyaona massive rigging, intimidation, killings kwa africa uchaguz ni source ya fujo kwan watawala mara nyingi wanatengeneza mazingira ya kushinda kwa rafu na ikibid hata kwa mauaji au ubabe uliopitiliza, kwan hatukuona kule kigoma kafulila kashinda ana matokeo ya vituo vyote lakin ccm wakamtangaza tu mgombea wa ccm kibabe!!!!

mataifa ya magharibi wanaelewa ndio maana wanasisitiza muda wa kikatiba ukiisha basi iwe ndio mwisho!!!! No one is irreplecable!!!!
 
kwa africa demokrasia ni tungo tata sana, demokrasia gan kwa tunayoyaona massive rigging, intimidation, killings kwa africa uchaguz ni source ya fujo kwan watawala mara nyingi wanatengeneza mazingira ya kushindwa kwa rafu na ikibid hata kwa mauaji au ubabe uliopitiliza, kwan hatukuona kule kigoma kafulila kashinda ana matokeo ya vituo vyote lakin ccm wakamtangaza tu mgombea wa ccm kibabe!!!!

mataifa ya magharibi wanaelewa ndio maana wanasisitiza muda wa kikatiba ukiisha basi iwe ndio mwisho!!!! No one is irreplecable!!!!

Demokrasia ina utata kweli lakini vile vile kuna changamoto zake. Rais Kagame amemaliza muda wake kikatiba na taratibu za kikatiba zimetumika ili kumuongezea muda (AKIKUBALI). Na alisema hajamuomba mtu abadili Katiba. Wananchi wakimkataa ni sawa ila sio kwa agizo la watu wa Marekani. Uwepo tu uhuru wa wao kuamua nani anafaa. No one is irreplaceable, i agree!

Suala la Kafulila liko mahakamani. Najua amekwenda mahakamani kwa kuwa ni chombo kinachotambulika kikatiba na anaamini atapata haki la sivyo angeenda kwa mganga. Tusubiri tuone uamuzi wa mahakama utakuwa nini. Ila hakuna kisicho na changamoto na mapungufu. Demokrasia pia inazo.
 
In democracy the source of authority of the government should be based on the consent of the governed. Ndio maana kuna uchaguzi,na ndio maana nimesisitiza washauri pengine kuwepo na political equality na wagombea wote wapewe usawa wa kushiriki. Wananchi waamue kwenye sanduku la kura nani awe Rais wao. Kama demokrasia inatambua uwepo wa vyombo vya uwakilishi wa wanachi na kuwa wananchi ndio wenye maamuzi ya mwisho inapaswa ikubali kuwa wakati mwingine wananchi wanaweza kuamua tofauti na kanuni za demokrasia kuhusu muda wa kuongoza, kwamba wananchi wakampenda mno kiongozi wakaamua aendelee tu kwa kazi nzuri aliyofanya.Wamarekani waliwaambia pia wananchi wa Libya, watu wa Iraq na Syria la kufanya,leo hii wanasuasua kupokea wakimbizi. Watu wa Rwanda waamue wenyewe wanachotaka.
Kama hakuna demokrasia Rwanda wasema wazi na wawaeleweshe watu wa Rwanda ila mwisho wa siku wawachie wafanye maamuzi yao kwakuwa matokeo ya maamuzi yao watayaishi wao wenyewe watu wa Rwanda.

Tatizo liko hapo kwenye 'consent of the governed'. Kwa kawaida we assume the governed to be free people, in case of Rwanda they are not. Which means hizo accessories zote za democracy kama uchaguzi, bunge, vyama vya upinzani n.k ni bure tu. Yanayoitwa maamuzi ya wananchi wa Rwanda sio maamuzi ya wananchi. Rekodi ya uhuru wa upinzani, haki za binadamu, vyombo vya habari nchini Rwanda ni mbovu sana kwa viwango vya dunia nzima. Hivi huoni kituko kuwa eti maoni yaliyokusanywa nchi nzima, waliokataa asiongezewe muda ni watu 10 tu? Do you seriously believe that? Wapinzani wa Rwanda hawako zaidi ya watu 10? Je chama kilichopeleka mashitaka bungeni hakina members zaidi ya 10?
Tukija kwenye mifano yako, Libya hawakuwa na demokrasia at all, Gadaffi hakuwa raisi. Nafurahi umeongeza Iraq na Syria, tusaidiane, je unadhani Saddam na Bashir walikuwa wanachaguliwa kidemokrasia? Kwamba wairaq na wasyria walikuwa wanapiga kura kabisa kutoka moyoni kuwa hawa mabwana watawale milele?
 
kwa africa demokrasia ni tungo tata sana, demokrasia gan kwa tunayoyaona massive rigging, intimidation, killings kwa africa uchaguz ni source ya fujo kwan watawala mara nyingi wanatengeneza mazingira ya kushinda kwa rafu na ikibid hata kwa mauaji au ubabe uliopitiliza, kwan hatukuona kule kigoma kafulila kashinda ana matokeo ya vituo vyote lakin ccm wakamtangaza tu mgombea wa ccm kibabe!!!!

mataifa ya magharibi wanaelewa ndio maana wanasisitiza muda wa kikatiba ukiisha basi iwe ndio mwisho!!!! No one is irreplecable!!!!

Hivi button ya like imeendaga wapi?
 
Nani kampa USA nafasi ya Kuwa baba wa Africa? USA imuache RAIA wa Rwanda aamue anataka kuongozwa na nani.

Huyo raia wa Rwanda kwanza akatae fedha za marekani.
 
Mr Kagame don't need the USA to respect his fellow Rwandans,democracy and blood of those who lost their life in 1994.
I was expecting him to put a legendary mark by respect the constitution but t's too late this is african cancer.
 
Back
Top Bottom