intelinside
JF-Expert Member
- May 21, 2015
- 306
- 406
A very violent and unpredictable manoeuvres [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Soma vizuri nilicho andika kwanza - labda nirudie tena, nimsema hivi:Jeshi la majini la Marekani utangazia Dunia kwamba Meli zao za vita zimewekewa Aegis Combat System inayotumia powerful computer na teknolojia ya radar yenye kazi mbili muhimu ya kwanza ni kuongozea makombora mpaka kwenye target, kazi ya pili ambayo nilikuwa naizungumzia mimi zaidi ni hii ya kudai "kwamba rada hiyo ina uwezo mkubwa sana Duniani wa kuona kila kitu iwe mchana au usiku wa giza totoro, hata sindano ikifichwa kwenye haystack itagundulika tu" maneno yao sio yangu - Sasa ndiyo nauliza: Ilikuwaje tena MELI iliyoseheni teknolojia ya kuona kila kitu, kuji-defend na kushambulia tishio lolote Duniani, teknolojia ambayo vyombo vyao vya habari na Jeshi lao uipigia debe kila kukicha halafu Meli husika ijikute inagongwa na meli ya mizigo inayo kwenda kasi ya infrasonic!!!
Swali hapa ni ,Je, Korea Kasikazini ikichokozwa na Uncle SAM halafu Kim ikavurumisha makombora ya kuzamisha Meli, makombora ambayo yana kasi inayokaribia hypersonic yanaruka chini ya futi 50 juu ya bahari/maji yametengenezwa in such a way kwamba yakikaribia target yanafanya a very violent and unpredictable maneuvers kukwepa mashabulizi kutoka ulinzi wa Melini, Wakorea wakitumia makombora type tajwa hapo juu, je, Meli za US Navy zitakuwa mgeni wa nani? - I am just curious.
Hivi hii [emoji116] [emoji116] kweli ilishindwa kuJam kweli
Tena hii ilikua inazama kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] Bora hyo ya US ilikua inaendelea na safari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenye namba za admiral wa jeshi ya merekani anitumie nina bati zangu chakavu za chooni aje achukue wakaundie destroyer zao dadeq destroyer laaaaiiiiiiniiii
Ila ya Marekani haikuzama mkuu iliendelea na safari ila hyo ya jirani ilikunywa vikombe vya kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Casuality vipi mkuu, nasikia saba hawajulikani walipo, wakati ya Russia hakuna aliyekufa.
Anyways radar au ilikuwa kwenye matengenezo
ICBM zinadakwa na interceptor hyo destroyer ni kama mbebaji tu wa hyo mitambo ya kuharibu hzo ICBM.Yaani kama Anko Sam ndo ana meli vita za aina hii nampa pole sana.Kipindi anapeleka destroyer zake kule Asian peninsula bwa mdogo Kim jong angevurumisha kitu cha Teapodong classic ballistic missile ICBM sizani kama zingepona zile meli za mabuwa
Imethibitishwa askari 7 wa US destroyer wamekutwa wamekufa
Huku meli ya mizigo ikiondoka salama kabisa. Pale destroyer inapokuwa destroyed
Imethibitishwa askari 7 wa US destroyer wamekutwa wamekufa
Huku meli ya mizigo ikiondoka salama kabisa. Pale destroyer inapokuwa destroyed
Mkuu adi leo hujajuwa kuwa USA ni wauza maneno kama wamachinga!!!Soma vizuri nilicho andika kwanza - labda nirudie tena, nimsema hivi:Jeshi la majini la Marekani utangazia Dunia kwamba Meli zao za vita zimewekewa Aegis Combat System inayotumia powerful computer na teknolojia ya radar yenye kazi mbili muhimu ya kwanza ni kuongozea makombora mpaka kwenye target, kazi ya pili ambayo nilikuwa naizungumzia mimi zaidi ni hii ya kudai "kwamba rada hiyo ina uwezo mkubwa sana Duniani wa kuona kila kitu iwe mchana au usiku wa giza totoro, hata sindano ikifichwa kwenye haystack itagundulika tu" maneno yao sio yangu - Sasa ndiyo nauliza: Ilikuwaje tena MELI iliyoseheni teknolojia ya kuona kila kitu, kuji-defend na kushambulia tishio lolote Duniani, teknolojia ambayo vyombo vyao vya habari na Jeshi lao uipigia debe kila kukicha halafu Meli husika ijikute inagongwa na meli ya mizigo inayo kwenda kasi ya infrasonic!!!
Swali hapa ni ,Je, Korea Kasikazini ikichokozwa na Uncle SAM halafu Kim ikavurumisha makombora ya kuzamisha Meli, makombora ambayo yana kasi inayokaribia hypersonic yanaruka chini ya futi 50 juu ya bahari/maji yametengenezwa in such a way kwamba yakikaribia target yanafanya a very violent and unpredictable maneuvers kukwepa mashabulizi kutoka ulinzi wa Melini, Wakorea wakitumia makombora type tajwa hapo juu, je, Meli za US Navy zitakuwa mgeni wa nani? - I am just curious.
Meli sio boda boda wwYan WANASHINDWA kuikwepa meli ya mizigo watayamudu kweli makombora ya MAPANKI.!!!!
Bila wazungu hapa duniani sijui tungeishijeCheki hiyo destroyer ya US ilivyoharibika
Inategemea ilikuwa ni umbali gani halafu meli haina magurudumu unakata kulia na kushotoInamaana radar zote za jeshi kwenye destroyer ya US walishindwa kuikwepa meli ya mizigo? Si bure huenda huu ni mchezo mchafu dhidi Duterte
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu adi leo hujajuwa kuwa USA ni wauza maneno kama wamachinga!!!
Wenyewe wanalijuwa hilo ndio maana hawakudhubutu kusogelea rasi ya korea kasikazini !!!
Na kim aliwambia kabisa rusheni hata risasi moja kuja hku north korea muone nini nitakacho zifanya hizo meli zenu za uvuvi
Hatari sana mkuu USA hana mda mrefu sana atakuwa anadharauliwa kadri china inavyo kuwa ki technology na kim anavyo endelea kuivisha ma nuclear weapons[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chuma kimetoa cheche