Ok la mafuta we are on the same page right now.
Kuhusu historia ya nchi. Unajua nchi yoyote haiwezi kubaki juu siku zote. Kuna
Wamisri na falme za West Africa ambao ndiyo walikuwa watu wa kwanza kuwa na vyuo vikuu na watu walikuja mbali kupata elimu mfano Timbaktu. Kukaja Wagiriki na Warumi waka tawala dunia na kuwa mataifa yenye nguvu mwishoni yakafa. Persia which includes hiyo Iran chini ya Alexander the Great wali tawala 1/3 ya dunia. Wakaja Uingereza wakawa na territories zinazo fikia 2/3 ya dunia lakini nayo ika pungua nguvu na kuipisha Marekani.
Kama nilivyo sema mwanzo Marekani kama Marekani ime zaliwa miaka 200 na iliyo pita. Kuna nchi kama Canada iliyo zaliwa 1867. Kuna nchi pia kama Australia ambayo Waingereza waliitumia kutupa wahalifu wao huko.
Okay...hapo umetaja Marekani, Canada na Australia. Hizi nchi zin kitu fulani kilicho very common....supression of the indiginous peoples. Hao watu walioleta maendeleo huku yanayowafanya wameremete mpaka sasa ivi ni wazungu waliotoka Uingereza. Ndo maana wakati mwingine wana-refer to England as the motherland. Hawa watu walipokuja, waliwatawala indiginous people wa hizo nchi, mpaka leo, wameishia kutupiliwa mbali. Angalia Red Indians marekani, Canada, na Aboriginals Australia. Nasema uongo? Yani ukitoa uraia...wana links zote na Uingereza. Kwa hiyo maendeleo ya hizo nchi yameletwa kutokana na culture na traditions za hawa watu walizozileta kutoka Uingereza, au sio? Taja nchi nyingine, ambayo haina link yeyote na Uingereza. Ungeniambia Russia..., hapo sijui mengi sana juu yao. Lakini nayo ni nchi iliyochoka ukienda vijijini mwao. Status yao ya developed inatokana sana na Cold War era!
Ok I see your point. Let me entertain your idea and ask, what do you think we as a nation should do now to develop?
Nadhani tungechukua mfumo wa Stalin. Tunaweka program ya five years, na katika hiyo miaka mitano tuna-target a certain specific area alone. Sio kana kwamba tunasahau areas nyingine, lakini tunaipa kipaumbele hiyo area. Kwa mfano tunaweza kusema kilimo cha kisasa na elimu kwa kuanza. Kilimo ni muhimu kwa maana sidhani kama kumeshakuwa na nchi iliyoendelea inayotegemea misaada ya chakula. Lazima tuweze kuji-support kwanza. Umuhimu wa elimu nadhani ni kitu kilicho wazi.
Pia, lazima tukubali kuwa sisi (generation yetu hapo wote JF) hatutakaa tuone Tanzania iliyofika stage ya kuitwa upper second world. Tukilazimisha sana, tutajikwamua kutoka third world in 50 - 60yrs.
Pili, uwazi katika kazi za serikali. Kwa sasa serikali yetu ni kama kichaka. Inafanya mambo yake kwa siri mno. Tunataka uwazi na a constant flow of data kutoka kwao. Bila hilo wataendelea kuboronga na sisi kuumia bure. Elimu itachangia katika uelewaji wa hizo data.
Na tatu, utawala bora wa sheria. Huu utaendena na uwazi.
Wewe je?
Kwanza una takiwa kujuwa kuwa mfumo wa Stalin is a failed one. In the long run mfumo was Stalin uliongeza maskini USSR na kuingiza mianya ya rushwa ndani ya chama which supposedly believed in kila mtu kugawana sawa. So kama waanzilishi wenyewe wa huo mfumo umefail naomba uniambia why you think kwetu tutaweza.
Pili, nchi yoyote masikini ita priorities mambo itaki isitake. Hii ni kutokana na mipango au vitu vya kufanya kuwa vingi na pesa zilizopo kuwa chache. Huu mfumo is not exactly wa Stalin in the sense that nchi yoyote yenye serikali bora ina takiwa kuwa na long term plans pia na short terms plans. Hata wenzetu walioendelea wana fanya hivi.
All in all your idea is good but kama ni hivyo tatizo si culture and tradition kama ulivyo sema bali tatizo ni kuwa na viongozi wasio na vision.
kama unadhani mfumo wa five years plan wa Stalin uli-fail ningekushauri ukasome historia vizuri. I will assume that ulidhani ninazungumzia communism. Nadhani ni bora kwanza uelewe kuwa five year plans zilikuwa tofauti na communism. Communism was the background ideology, wakati zile five years plans ndo zilikuwa sera - economic policies.
Kwa nini zilikuwa successful: Russia iliweza ku-move kutoka nchi iliyokuwa imedorora kiuchumi (mainly a farming country) mpaka kufikia nchi yenye uwezo wa kupambana ki-vita na Ujerumani (iliyokuwa na the fastest growing economy in Europe then). Sitaki kukupa a history lesson, lakini all-in-all huu mfumo wao uliweza kuinyanyua Russia kwa haraka kupita mategemezi ya wengi. Kama umesoma historia unaweza kujua hii famous quote yake wakati anaongelea hili swala...(not quoting word to word). It goes like this: "We are 50 to 100 years behind the West. We need to make good this distance in 10 years. We either do it, or they will crush us." Nadhani na hii iko very applicable katika situation yetu.
The advantage to this pamoja na uwazi ni; unapoweka targets ambazo zipo wazi kwa kila mwananchi, basi inakuwa rahisi kufanya kazi pamoja katika kuzitimiza (serikali na wananchi lazima wafanye kazi pamoja). Sawa Stalin was a trayant, na aliua over 40mil Russians katika kutimiza targets zake, lakini that doesnt mean we need to go down the same line. We can find effective and efficient means za kuweza kuzifanyia kazi hizi targets.
Umesema nchi yeyote yenye longterm goals inakuwa na mfumo huu: Can you please provide FACTS. Nipe longterm goals za US or any other developed country in that matter. I WANT FACTS, sio uropokaji.
Culture na traditions zina-play part katika kujenga jamii iliyo tayari kupokea maendeleo. Thats my point. Marekani isingeweza kufika hapa, kama haikujengwa na Waingereza waliohamia huko ambao walikuwa na culture na traditions walizozitoa Uingereza. Culture yao unaweza kusema ni utawala bora, kufanya kazi kwa sifa (take pride in their work), elimu (maana vyuo kama cambridge na oxford vilikuwa vimeanzishwa), nk. Umenielewa? Hivi ni vitu vilivyo katika background. Vimejengeka katika misingi ya jamii. Wataalam wanaita commonly shared background values, cultures, traditions. Sasa wewe leo umwambie Mmasai, nataka kuendeleza kilimo, atakuelewa? Lakini katika society yao ya wamasai, wana a common shared tradition ya kufuga ng'ombe. Na wanawapa ng'ombe value zaidi ya mimi na wewe tunayoweza kuwapa. Ni kitu ambacho kinafanya kazi unconsciously. Sio unaweza kusema kuwa...kha...hichi hapa. Ndo maana narudia, kuwa na a longer history inakusaidia katika kujenga hili. Mfano mwingine mzuri China, Japan. So the longer your history is, the more thess common shared culture, value, tradition, are passed on and cemented in you. This is what we LACK kutokana na kuwa watu waliokusanywa chini ya bendera moja!
Soma vizuri post yangu. Nimesema nchi yoyote kuendelea lazima iwe na some form of hiyo five year plans kwa maana kila nchi lazima iwe na long term goals na short term goals. Kwani five year plans siyo short term goals? Au? If so niambie nchi gani imeendelea bila long term na short term goals?
let me get this straight. Kwanza umeniambia niseme what i would do kusaidia Tanzania. Nikakwambia nitaweza hizo aggressive measures za term goals. Sasa wewe ukasema ni kitu kilicho obvious na kinachotumika. Sawa. Sasa unataka nikutajie nchi ambazo hazitumii targets whether short term or long term? Mimi sioni kwa nini nitaje maana mimi sijasema hakuna nchi isiyokuwa nazo. Wewe unayesema ni kilicho obvious katika muongozo wa nchi, unaweza kunitajia short term na long term goals za Tanzania?
1. Mtoto & Mwanafalsafa hii discusion hapo juu imeenda shule! Poa!
2. Sasa..why Mwal. failed?? Sii alijaribu kuwaweka watu ktk vijiji vya Ujamaa?? Au alikuwa mpole mno?? Au hawakuwa tayari bado kubadilika?? Je Watz sasa wapo tayari kubadilika??
1. Mtoto & Mwanafalsafa hii discusion hapo juu imeenda shule! Poa!
2. Sasa..why Mwal. failed?? Sii alijaribu kuwaweka watu ktk vijiji vya Ujamaa?? Au alikuwa mpole mno?? Au hawakuwa tayari bado kubadilika?? Je Watz sasa wapo tayari kubadilika??
Hatuelekei kuwa na clear short term and long term goals ndiyo maana maendeleo yetu niya taratibu sana.
ohh...Mwanafalsafa kwako wewe unadhani maendeleo ni nini hasa? Yani what is your definition ya kuwa developed?
Useless
Sorry for the delay in response. Maendeleo ni kusonga mbele. Kwangu mimi maendeleo ni kama ifuatavyo:
1.Badget kuji tegemea. Serikali iweze kujitegemea kwenye bajeti kwa 100%.
2.Kila anaye weza kusoma asome to the highest level they can reach
3.Sekta ya afya iweze kuhudumia wananchi wake kwa maana mtu asife kwa ajili hamna wahudumu au vifaa.
4.Tuji tosheleze kwenye chakula
5.Miundombinu ya kisasa
6.Tuwe na viwanda vinavyo kidhi mahitaji yetu
9.Tuwe na industry inayo husika na science and technology
10.Basic needs ziwepo kwa kila mwananchi na kwa bei ambayo mwananchi wa kawaida ata mudu.
Hii ni outline tu ya haraka haraka nikitulia nitaipangilia vizuri zaidi. Je wewe definition yako ya maendeleo ni nini?
Useless