US launched Cyber attack on Iran weapons systems

Marekani sio ya kusapotiwa kwa anayofanya lkn sio nchi ya kupigwa mkwara na irani.
 
Kutoa vitisho tu?Wameidungua dron ya Marekani tena ya kisasa na Trump kaendelea kuleta ngonjera tu no action.
 
Vikwazo anavyoviweka Marekani basi Iran isingekuwa na nguvu ya kijeshi kama ilivyo sasa na bado anaendelea na urutubishaji wa nuke hakuna wa kumzuia zaidi ya huyu mbweha Trump kubweka tu.
 
US wakishashindwa in real ground wanaanza propaganda,[emoji23][emoji23]

Persian wana mabaki ya drone (dunia imeona), sasa hiyo cyber attack waliyoifanya sisi (waduniani) tutaamini vipi au wanataka Iran watoe screenshoot..?

Poor trampo
Hawafanyi ili muone, tatizo lenu nyie ni kuwa mna mambo ya kiswahili-swahili sana inayosababishwa na ushabiki wa kitoto na kwa kuwa hamjui madhara ya hiyo cyber attack, hamuwezi kuelewa chochote.
 
Tim marekani wakibongo labda kwa sasa mshereheke syber attack ndicho kilichobaki [emoji23][emoji23][emoji23]
Hatusikii malalamiko yoyote kutoka Iran.Pumbaavu USA,ashadharirika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ source ya taarifa hata hazieleweki.Pale mkubwa anapotafuta kujifariji kwa kuihadaa dunia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Full propaganda.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawafanyi ili muone, tatizo lenu nyie ni kuwa mna mambo ya kiswahili-swahili sana inayosababishwa na ushabiki wa kitoto na kwa kuwa hamjui madhara ya hiyo cyber attack, hamuwezi kuelewa chochote.
 
Vikwazo anavyoviweka Marekani basi Iran isingekuwa na nguvu ya kijeshi kama ilivyo sasa na bado anaendelea na urutubishaji wa nuke hakuna wa kumzuia zaidi ya huyu mbweha Trump kubweka tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
sasa kama walidisable military launcher system,kwanini ndege za kipelelezi za marekani haziruki tena persian gulf?,mambo mengine ni kujiuliza tu,hii habari ya,"wametufunga lakini chenga twawala" ,haiwezi kubamba maana ni facesaving strategy tu
Ndege haziruki wakati carrier group ipo eneo hilo ndege zinaruka na kutua kama kawaida
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ..
Wapuuzi tu.wangekua wapo vizuri wangelialia uchaguzi wao ulidukuliwa.
Fiq q-propaganda
Uchaguzi haukudukuliwa zilikuwa propagandas za watetea ushoga chama cha Obama Democratic baada ya kushindwa na juzi hapa uliwekwa ushahidi wa mwisho!

Hackers wa Russia wengi wako sponsored na gavoo yao na mara nyingi wanajaribu ku_hack sensitive issues za America huwa zinakuwa blocked, pesa ya kufanya hayo zinatolewa na serikali
 
US wakishashindwa in real ground wanaanza propaganda,[emoji23][emoji23]

Persian wana mabaki ya drone (dunia imeona), sasa hiyo cyber attack waliyoifanya sisi (waduniani) tutaamini vipi au wanataka Iran watoe screenshoot..?

Poor trampo
Hahaha. .jamaa ni watu wa chai sana. .Yaani wanataka kutuaminisha kwamba hawaja shindwa
 
sasa kama walidisable military launcher system,kwanini ndege za kipelelezi za marekani haziruki tena persian gulf?,mambo mengine ni kujiuliza tu,hii habari ya,"wametufunga lakini chenga twawala" ,haiwezi kubamba maana ni facesaving strategy tu
Hahaha jamaa ni waongo sana aise
 
Hizi ni propaganda. .fid q
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…