Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,335
- 4,281
Wengi si washabiki wa kishamba...wakaulize ile drone ya US ilivo violate anga la Iran within 400meters nini walifanywa...drone ys ghali kabisa ,$22milion ,na ya kitaalamu...walijisifu haionekani kwenye rada.Haha haaa Bw Utam,
Hawa Pro Us wanaonaga vifaa vya Us huwa haviexpayi.
Ndege Yao ambayo walisema haionekani,ilionekana Yugoslavia na ikapigwa na kombora la kizamani la Urusi,ambalo urusi walishaachana kabisa.
Hilo kombora Ni mfumo wa ulinzi wa anga pia.