Pamoja sana Mkuu. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Yerusalem kukoma kuwa Mji wa Bwana. Ni rahisi zaidi kwa atakaye kupewa Rumi yote, au Marekani yote, au Afrika yote kuliko Yerusalem kupokonywa kwa wateule. Bwana Mungu wa Mbinguni na alibariki neno lake. Amen.Amani na iwe na Israel, atakaye ibariki anabarikiwa,
Naibariki Israel kwa jina la Yesu.
Jerusalem, Mji wa mfalme mkuu!!!
HALLELUJAH!!!
Kwani hao unaowabariki kwa jina la Yesu wanamkubali huyo Yesu wako....Amani na iwe na Israel, atakaye ibariki anabarikiwa,
Naibariki Israel kwa jina la Yesu.
Jerusalem, Mji wa mfalme mkuu!!!
HALLELUJAH!!!

Bado waafrika tuna Karne nyingi sana kutoka gizani....Pamoja sana Mkuu. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Yerusalem kukoma kuwa Mji wa Bwana. Ni rahisi zaidi kwa atakaye kupewa Rumi yote, au Marekani yote, au Afrika yote kuliko Yerusalem kupokonywa kwa wateule. Bwana Mungu wa Mbinguni na alibariki neno lake. Amen.

Maneno ya ndan sana haya mkuu...haya hata ibilis akiyasikia hufumba macho manake ni makali kama sifongoPamoja sana Mkuu. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Yerusalem kukoma kuwa Mji wa Bwana. Ni rahisi zaidi kwa atakaye kupewa Rumi yote, au Marekani yote, au Afrika yote kuliko Yerusalem kupokonywa kwa wateule. Bwana Mungu wa Mbinguni na alibariki neno lake. Amen.
Mbingu na nchi zitapita lakini neno halitarudi bure,analiangalia neno lake apate kulitimiza. Jerusalem, Jerusalem mwanangu hatimaye umejitambua.Pamoja sana Mkuu. Ni rahisi mbingu na nchi kupita kuliko Yerusalem kukoma kuwa Mji wa Bwana. Ni rahisi zaidi kwa atakaye kupewa Rumi yote, au Marekani yote, au Afrika yote kuliko Yerusalem kupokonywa kwa wateule. Bwana Mungu wa Mbinguni na alibariki neno lake. Amen.
Sema Tanzania tumejitambua!Mbingu na nchi zitapita lakini neno halitarudi bure,analiangalia neno lake apate kulitimiza. Jerusalem, Jerusalem mwanangu hatimaye umejitambua.
Mkuu inamaana wenye balozi tel Aviv ni wanawake!Jumatatu ijayo wanaume (us) wanafungua ubalozi wao Jerusalem, all the way kutoka telvive, ulimwengu unashuhudia maamuzi ya trump ambae harudi nyuma akishafanya maamuzi, waarabu wanasimama wapi kwenye hili?





Umenichekesha sana leo.Anawabariki watu kwa jina la mtu wasiomuamini ahahahahhaKwani hao unaowabariki kwa jina la Yesu wanamkubali huyo Yesu wako....![]()
![]()
Maoni yako na mawazo yako juu ya israel yanatokana na maandiko /mafundisho ya imani yako, na wengine pia wana mitizamo yao itoknayo na I'm ani yao. Vumilianeni tu, ila mwisho wa siku itajulikanaKuhamisha embassy kwenda Jerusalem hakubadili kitu, Wapalestima wapo na wataendelea kuwepo mpaka wapate haki zao. Israeli kabakia ni kupe tu ambae anaimaliza US kwa vita inavyopigana kwa ajili ya Israel na misaada mikubwa anayotoa kwa Israeli - taifa lililo laaniwa na ambalo limeahidiwa halitashi kwa Amani mpaka mwisho wa dunia sababu ya ubaya kwa binaadamu wenzao. Wamepata vipigo vikubwa kuanzia kwa farao, warumi , hitler n.k na kulia kilio cha mbwa maisha yao yote kudai kuwa wanaonewa. Lakini haya yote ndio wameandikiwa na laana zinaendelea.
Amerika inafilisika sababu ya ubabe na kushindwa kushindana na mataifa mengine kiuchumi - andalia hii video itakupa picha
Wamkubali wamkatae ila kubwa ni Mungu anasema nini juu ya israelKwani hao unaowabariki kwa jina la Yesu wanamkubali huyo Yesu wako....![]()
![]()