Wewe kama mtu mwenye akili timamu jiulize, hii election ya Marekani inawahusu nini watanzania? Marekani has nothing to do with Tanzania mnakazania upuuzi tu. Leteni mjadala wa maana unaowahusu watanzania na jamii yake.
Bro pole, thinkin in a box. Oh God grant Barack Hussein Obama, Usain Bolt's legs.
Wewe kama mtu mwenye akili timamu jiulize, hii election ya Marekani inawahusu nini watanzania? Marekani has nothing to do with Tanzania mnakazania upuuzi tu. Leteni mjadala wa maana unaowahusu watanzania na jamii yake.
ni muhimu sana kwa mandeleo na usalama wa dunia,elimu yako haikusaidii kujua tunakokwenda?vita ya tatu inakuja na utakuwa bado unawaza tanzaniadunia imekuwa kijiji bro!
Naomba urudie kusoma tena haya uliyoandika mara 10 ama zaidi. Kama ni kweli ni muhimu sana kwa usalama wa dunia, je Marekani wanafanya nini katika kuleta usalama wa afrika na watu wake? Marekani has no interest in Africa ila wanapiga kelele tu ili wasionekane kuwa hawajali Africa. Wangekuwa wanajali Africa kama nchi za kiarabu unafikiri wangeshindwa kuwang'oa madikteta hapa Africa? Usilete masuala ya Bongo fleva hapa kusifia vitu usivyovijuwa.
duh mkuu unasema usa haina interest in africa?? kweli?? kaka karibu duniani na hata hiyo mikono yako inabofya hiyo keyboard ni mmarekani ndio kakufanya hivyo so bidhaa zake huzitumii?? dunia nzima inautizama uchaguzi wa marekani kwa macho mawili, kila pande anyway mleta mada kaleta picha so jadili picha tuache siasa.