Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
USA has showed military showcase in Korean Peninsula and it went as much closer to North Korea!!!
The deployed destroyer were the B1 Suicide Bomber escorted by F -35 the finisher !!!
Eti Mbwa Kim Jung Un sijui anataka nini!!! As a an international community we must come out and remove Kim family from power!!! This is a right time than never ever before!!
We need to live in our world peacefully!!! Without any intimidation!!!
Kim Must be be Assassinated by any means or Pyongyang must be destroyed to keep our world safe for our new generation.
Hii vita sio kama unavyodhani... I guess US akilianzisha basi atapambana na NK, RUSSIA, IRAN PLUS CHINA kwani hao ni alliesU.S mchape fasta fasta kiduku... unachelewa nn.. Do it now..!! Aaaarrrgghww
Wew unaweza kupigiwa mkeo hivi hivi unaona !Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
Unakosea sana ni hvMzee soma nembo za product nyingi hata hizi iPhone tunazo tumia zimeandikwa assembled in China made in america mchina hana ubunifu uchumi na maendeleo yake ya kisayansi ni yakuiga tunaita vertical progress anakua kwa kuendeleza kilichopo na nikutoka marekani na kusimama kwa China kunatokna na financial support kubwa kutoka marekani so hawezi kua upande wa Korea maana marekani itamuwekea vikwazo vya kiuchumi[emoji2]
Sasa kakosa sehemu zakupitisha hiyo mindege yake adi akapitishe huko north korea!?[emoji3] mnaanza kuogopa?!
Haya sasa Dege hiloo lisharuka! [emoji28]
Ndio namshaangaa mkuuAna upungufu wa akili huyo kama dripu za kuongeza akili zinge kuwepo ningemshauri aende kuwekewa..yaani seriously Saddam unamfanajisha na Kim ambaye anatengeneza nyuklia ,makombora ya masafa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilizani ya kuwa kazipeleka ndege zake ktk himaya ya wababe nkorea, kumbe ni karibu na mpaka wa NK. Kumbe USA ni tupu kabisa, alishaambiwaga ya kuwa andondoshe hata kokoto tu katika mchanga wa bw kim, hapo ndipo dunia itashuhudia nguvu halisia ya hermit empire
Vipi na ile manowari ya Urusi iliyogongana na meli ya mizigo mapema mwaka huu na ikazama, nayo ilidukuliwa nini?!.Technology sasa kila nchi wanayo sio siri tena.
Sleeping agent kila nchi wanawatumia
Kama ni elimu inafuatwa kila mahali.
Hivi karibuni manowari za kivita za USA ziligongana na meli zingine, wengi walishangaa na kusema itakuwaje Marekani na maarifa yote hayo.
Watajiuliza sana lakini ukweli ni kwamba mataifa mengi kama China na Russia, Iran, Pakistan, India wako vizuri pia.
China wamemvuruga sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fundi mbona unaanza kuweweseka mapema hivi wakati movie ndo kwanza inaaanzaSasa kakosa sehemu zakupitisha hiyo mindege yake adi akapitishe huko north korea!?
huyu mzee wenu niaje aje!!
Na hapo bado hatujampelekea B-2 a.k.a Popo na lile Baba lao B-52.
Yani sijui unawaza nini,kabisa marekani apigwe na huyu mtoto...fikiria tena mkuu...marekani mtu mwingneMmarekani atachapwa na itakiwa haibu.
Ukizingatia china anapiga jalamba akiwa upande wa Pyongyang.
1950s mbona alichapwa na hao NK na CHINA au hujui historia?Yani sijui unawaza nini,kabisa marekani apigwe na huyu mtoto...fikiria tena mkuu...marekani mtu mwingne