US bombers fly close to North Korea

Eti upepo kuwa pili pili lakini wewe! [emoji1]

Na hizi kauli zao za hivi karibuni hopefully hawatashtukiziana.
Mzee kim halali yupo na binocular ana angalia juu ya anga ole wenu mpite tena amesema atamnyoga mtu atakaye kosea target maana yatatumwa makombora 30 kwa kila ndege moja huko ma ICBM yakiwa kwenye submarine !!
 

Nawasiwasi mkuu leo wajapan wanaweza kulala kwenye mapango
Kim sio mchezo kabisa. Hii wiki hii namashaka nayo sana maana akili za Kim anazijua mkewe tuu, ila kwangu mim kama kunawatu magenius basi Kim ni bonge la genius maana ameweza kutatua tatizo kubwa sana na kuokoa nchi yake japo watu wengine wanamuona kilaza. Huu mgogoro utaisha kwa njia ya kidepromacia na Kim atapata haki zote anazo ziitaji maana kashika korodani la babu
 
Sasa km kiduku yupo fiti kwa nini hakuzidungua hizo bomber,nadhani walikuwa wanamuonesha wanaweza kuja angani kwake na kufanya lolote bila kizuizi
Aliziona na kuwaza na kuanza kuhesabu moja adi kumi pengine asinge hesabu Japan na south Korea zingekuwa historia muda huu Mkuu akituma mizigo 3 tu ya Hydrogen duh sijuwi km unajuwa hali itakuwa je!!
 
Tulia wewe mammalia kama unatabia ya kumtishia mumeo hapa umefika nyambafu wewe
 
Bla bla, blablabla bla, bla,
Hahaaa kwamaneno hayo trump anasubiri aanzwe au mshirika wake ndio amfyeke kiduku kwakiwango ambacho dunia haijawahi kushuhudia.
 
Anazo anazo,nyimbo hizo mumeimba since 2050s kinachowazuia msilianzishe ni mini? Mtabweka sana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mzee kim halali yupo na binocular ana angalia juu ya anga ole wenu mpite tena amesema atamnyoga mtu atakaye kosea target maana yatatumwa makombora 30 kwa kila ndege moja huko ma ICBM yakiwa kwenye submarine !!

Teh!, si mnajua na sisi tunawaangalia na bino...lol

 
Fundi wee acha tuu...

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kesi ya msingi hapa ni ipi wee jamaa una akili sana ungekwenda shule ungekuwa nesi!!
 
Hahaaa!, lazima tuje kupima hali ya hewa kuona muda muafaka. .

Waziri wa mambo ya nje wa Korea Kaskazini amedai kwamba rais wa Marekani Donald Trump ametangaza vita dhidi ya taifa hilo wamesema.hatakama hamtakuwa kwenye anga a korea ya kasikazini wata wafuata huko huko kwenye anga la Japan au south duh mmeona sasa sijuwi kama mtarudi tena!!
 
Nawaza kubwajinga kesho atasema nin kwenye mitandao, sijui atapeleka submarine au atajaribu nae makombora yake au ataweka vikwazo vipya
 


Aseeh!, Fundi naona huyo Kim wenu anaitafuta vita kwa nguvu zote..
 
Aseeh!, Fundi naona huyo Kim wenu anaitafuta vita kwa nguvu zote..
Amesha tuma ujumbe wa barua U.N. na nchi kibao kwamba asilaumiwe kwa kile atakacho kifanya !!!
ni hatari ndugu tafadhali msipite tena pande za huku maana nitashindwa kuingia north mwezi hujao!!
 
Poyoyo kweli Wewe, hata Saddam mlimsifia hivi hivi, Leo yuko wapi?
China imeshamwokoa nani kijeshi na kiuchumi? Mugabe alipowekewa vikwazo akakimbilia China, je alipata nafuu?
Tatizo mmejaa ushabiki bila fact.
Sadam aliwai kuzindua kombora gan? Kim ni zaid ya hatari usimfananishe na mwaarabu yyte
 
Nasubir kiburi cha US kama atapeleka tena bomber zake jiran na NK.
US akiweka mkwala NK anavunja mara moja na US anakimbilia vikwazo akijua NK itapoteza nguvu, matokeo yake kiduku anaimarika zaid babu anachanganikiwa. Lakin NK akisema hik sitak kukiona US faster anaondoa anajua nin kitakuja.
Saiz nasubir mtambo mwingine upite Japan na ukaribie zaid Us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…