The Hague kungekuwa kunahusu watu wote na sio viongozi wa Afrika peke yao, hapa hata Obama anaonekana anaibeep ICC. Akivunja bioweapons convention na kuhalalisha utengenezaji wa hilo janga la kidunia afungwe Tu. Wanaacha kushugulika na utafutaji kinga na tiba wanahangaika kutengeneza janga