Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Wamarekani wataelewa lini kwamba violence never solve problems? Mbona wamekuwa wanapata hii lesson kila siku lakini watu wanaendelea kufanya tea-parties wakikumbatia silaha zao? Huyu mtu alikuwa anataka kutoka jeshini, kajaribu njia zote halali lakini wapi. Nawajua watu ambao wanazusha magonjwa na njia nyingine za ajabu ili kutoenda kwenye vita, yeye hakwenda njia hizo.
God bless the dead, lakini mbona hawa watu siwaoni wakitoa machozi kila tukipata taarifa ya mabomu yao yanayoua watoto na kina mama? Hii self-righteousness itaisha lini?
Ona jinsi hili janga litakavyosahaulika baada ya wiki moja, it's sickening.