US accuses Huawei of stealing technology from six companies

US accuses Huawei of stealing technology from six companies

Swali nalojiuluza wachina wanawezaje kuiba teknolojia.Wizi wa teknolojia nao ni teknolojia.Mbona Afrika inatamani teknolojia lakini tunashindwa kuiiba japo wapo waafrika kibao kwenye hizo maabara za wazungu na mavyuo ya teknolojia.Nampongeza mchina kwa uwezo mkubwa wa kuiba siri za teknolojia zinazolindwa na mitambo mikubwamikubwa.
 
USA

USA also steal brain from other countries via scholarships.Africa is suffering from brain drain from western.Let Chinese drain/steal technology because they have contributed to its development in USA.USA want to monopolize everything.
Kama silicon valley population ya wahindi inaongezaka sana wengi wao ni cheap labor
 
Soma post #6
Hakuna nchi iliyoamua kutumia vifaa vya Huawei kwa sababu marekani aliwatisha kwamba hataweza ku-share information za intelligsia in short Bado hawajaamua acha uongo, wanataka lakin wanamuogopa marekani

Wanavyotaka nchi za ulaya na nyingine kama India watatumia Huawei lakin sio kwenye core parts of their telecoms networks, lakin still marekani kawachimba mkwara

Please revisit post #18 filed by STRUGGLE MAN, sina shaka kuna kitu utajifunza.

Haya madai ya USA vassals kwamba hawatatumia Huawei kwenye core sub assembly of their telecoms networks hizo ni gimmicks za kutaka ku-fool US administration ili wasikasileke - ukweli wa mambo ni kwamba Mataifa ya Ulaya yaliyo kata shauri kutumia Huawei kwenye telecoms networks zao they will prefer seamless Huawei telecom equipment without mixing with equipment procured from other vendors - no need to embark on mixed grill stuff just to please Uncle SAM.
 
Fuatilia ile memo iliyovuja kipindi Theresa may akiwa waziri mkuu mwaka Jana ndo utaelewa nachoongea

Kitu ambacho huelewi ni kwamba Europe are heavily depend on us kwenye suala zima za information za ki-intelligenc na u.s kawaambia wakitumia vifaa vya Huawei ata share nao tena
 
Verizon ni kama voda ananunua kwa wanaozalizalisha hizo 5g network kama Huawei, Samsung, Nokia na wengineo

Huawei anauza 5g hardware kwa bei rahis tofaut na Nokia au Samsung, kwa kampuni inayotaka kuwa na 5g lazima sehemu kwenye unafuu ambapo ni Huawei

Kumuepuka Huawei inakua ngumu kwa sababu yupo affordable, Apo ndo panakua pagumu, Kuna link nimetumia jitahid usome

Mbona unahamisha goal posts kila unapo banwa kwa hoja, mwanzo ulisema hakuna nchi yoyote in Continental Europe na UK walio kubali kutumia Huawei Gears kwenye telecom network zao, mara, unasema wamekubali lakini vifaa vya Huawei havitatumika kwenye core part za mitandao yao, mara, unasema bei za Huawei stuff ni affordable ndio maana zinanunuliwa kwa wingi, sasa tuamini lipi tuache lipi?

Binafsi naona hakuna haja ya ku invent lame excuse ku justify ubinafsi ulio kithili wa utawala wa USA, tuwe wakweli hapa bidhaa za Huawei are light years ahead ya competitors wao notably USA itself - Dunian inajua kwamba kampeini za USA za kujaribu ku demonise Huawei zina lengo la kiwekea a monkey spanner kampuni ya Kichina ili products zake zisiuzike Kimataifa, ndio walivyo.
 
We ndo hutaki kunielewa nimesema ulaya wanataka kwa sababu Huawei hardware ni bei nafuu tofauti na Samsung au Nokia, iIla marekani kawapiga mkwara, kwa sababu Europe wanamtegemea marekani kwenye Mambo Mengi. Na juzi tena Nancy pelosi ujerumani kawatahadharisha nchi za ulaya

Alafu lazima uelewa mm Sina ushabik wa marekani Wala China naongelea kitu kilichopo kama hupendi kusikia ndo hali ilivyo
 
Back
Top Bottom