US$7 million for Markerting Tanzania during World Cup


Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
17,001
Likes
9,517
Points
280
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
17,001 9,517 280
Hivi ile issue ya ku-overprize CCN advert on The land of Kilimanjaro Zanzibar and the Serengeti imeishia wapi? maana cost kamili ilikuwa US$750,000 ila zilichotwa US$1,000,000 na CAG aliliona hilo! Kuna mtu amewajibishwa? Na hiyo US$7 million mbona hawanyambui matumizi yake yatakuwa vipi na kuna uhalali gani wa kufanya hivyo wakati tunajua hamna timu itakuwa na interest ya kuja Dar kwa vile hali ya hewa ni tofauti na SA? Jamani naomba mnisaidie maana napata kizunguzungu!:confused:

Hiyo hela si ingejenga kituo cha michezo jamani? lets say US$1 million (that's a fisadi prize) itumike kwa another CNN advert, US$6 mio. si uinajenga kituo/shule ya michezo safi kabisa!
 

Forum statistics

Threads 1,250,868
Members 481,514
Posts 29,748,830