URUSI yawafukuza Wanadiplomasia wa Moldova

URUSI yawafukuza Wanadiplomasia wa Moldova

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,622
Reaction score
8,427
Urusi wamewafukuza wanadiplomasia watano wa Moldova, ikiwa ni kulipiza kisasi kwa Moldova kufukuza idadi sawa ya wafanyakazi wake wa kidiplomasia siku ya Jumatatu.

Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema ina matumaini Moldova alijua faida kubwa ya matendo yake.

Moldova haikutoa sababu za kufukuzwa kwa wanadiplomasia hao licha ya kwamba hakukua na mvutano wowote baina ya pande hizo mbili.

Urusi inasema iwapo Moldova itatoa sababu inayoeleweka basi kuna uwezekano wa kusawazisha mambo.
 
Mbona kwa Marekani hajawafukuza
 
Back
Top Bottom