HERY HERNHO
Senior Member
- Mar 4, 2022
- 110
- 458
Rais wa nchi *****, huwa nachoka aiseeh! Acha wapelekewe moto tupelekea moto upinde hao
tuliambiwa eti west waongo kuwa wao washaiteka tangu muda mrefu , mbona hawa warusi wanatuchanganya , Ukraine walisema kuna mapigano mazito ila teamUrusi wakasema wameshateka tyr huo mkoa wote na bbc, cnn ,etc walikuwa wanaogopa kutangaza ukwelView attachment 2596940
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wialya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmu
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema wanajeshi wa Urusi wamefanikiwa kuzidhibiti wilaya tatu zaidi kwa upande wa magharibi mwa mji mji wa Bakhmut huko Ukraine.Jeshi la Urusi wakati mwingine inayaeleza mashambulizi ya kundi la wapiganaji mamluki kutoka kampuni ya Kirusi ya Wagner kama vikosi vya ushambuliaji.Vikosi vya Ukraine na Urusi vimekuwa katika makablianao kwa miezi kadhaa katika eneo la mashariki mwa mji huo Bakhmut ambao kwa sehemu kubwa umebaki kuwa magofu.
Sio Ukraine sema NATO!!Walisema bakhmut yote kumbe muda wote huo wilsya tu?? Ukraine wanapiga kaz kinyamaaa san
ila uliona sawa nchi kubwa kama Urusi kuivamia UkraineSio Ukraine sema NATO!!
Kupigana na mataifa 30 sio mchezo, mpe credit Mrusi.
Sio sawa kuvamia nchi nyingine hila kwa usalama wa russia ilikuwa lazima avamiwe km usa alivyotaka kuivamia cuba alivyosikia ussr inataka kupeleka makombora kule cuba .ila uliona sawa nchi kubwa kama Urusi kuivamia Ukraine
Credit zipi? Alisema Ukrean itam cost 72hrs sasa miaka 2?? Akasema Finland hatajiunga NATO sasa Finland ishazoea NatoSio Ukraine sema NATO!!
Kupigana na mataifa 30 sio mchezo, mpe credit Mrusi.
duh kwamba latvia , estonia na sasa Finland sio hatari Kwa Urusi ila Ukraine ambayo haipo NATO ndo hatari ? au Ukraine alikuwa hatari kivip kwa Urusi ?Sio sawa kuvamia nchi nyingine hila kwa usalama wa russia ilikuwa lazima avamiwe km usa alivyotaka kuivamia cuba alivyosikia ussr inataka kupeleka makombora kule cuba .
Uliza kiwanda kikubwa cha nyuklia kuliko vyote bara la ulaya kipo wapi?duh kwamba latvia , estonia na sasa Finland sio hatari Kwa Urusi ila Ukraine ambayo haipo NATO ndo hatari ? au Ukraine alikuwa hatari kivip kwa Urusi ?