proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 5,708
- 7,557
wafinywe
Ukraine ina wananchi wengi wenye asili ya kirusi ndio sababuMbona tayari wapo kitambo tu!? Mpaka wa Ukraine ni sehemu ndogo sana ukiringanisha na sehemu na Russia ambazo tayari NATO wapo.View attachment 2926463
Urusi ni hivyo hivyo mkuu..Sasa nato (Wezi wa rasirimali) za dunia wanapigana Dunia nzima..
Kwani wangeingia ni nini kingetokea?Inaepukika kwa maana ya angeacha NATO waingie kwenye mipaka ya RUSSIA au ulikua unamaanisha nini.
Wanaofkiria kujiunga na NATO ni wanasiasa au wananchi?UKRAINE ni Mipaka ya Ukraine ? kwann majiran wanamkimbia ? usilaumu wanaojiunga NATO ila laumu anaewaona mpk wanafikiria kujiunga na NATO
mara nyingi raisi huwa anatakiwa kukamatwa akiwa hai ili kuepusha madaraka kuangukia mikononi mwa vikundi vya milengo isiyoeleweka!Hivi itifak ikoje kumuua rais katika vita, maana naonaga vita inaendelea ila wagen na marais wanaingia na kutoka na wanajulikana kabisa
Crimea kulikua na kamandi ya Jeshi la wanamaji ya Urusi, baada ya Raisi pro-russia kupinduliwa 2014, na kuwekwa pro-washngton, kulikua na kila dalili za huyu mpya kuwataka urusi waondoe kamandi yao Crimea, ndio mana wakafanya chap kuinyakua Crimea....2014 alipochukua Crimea kulikuwa na tishio gani? Alipovamia Georgia je? Ni taifa lina wahuni wahuni kama jamaa yako unayemsupport hapo Eastern Congo ila nature imeamua kumalizana naye jumla jumla.
Hakunaga hicho na mfano Russia walishataarifiwa.Hivi itifak ikoje kumuua rais katika vita, maana naonaga vita inaendelea ila wagen na marais wanaingia na kutoka na wanajulikana kabisa
Halunaga hoyo kitu, labda kama PM hakutoa taarifaWamekosaje shabaha!!!! Aarrgghhh wangewauwa wote.
Ilikuwaje waka muua Sadam na Gadaffi au Hiyo treat haikuwepoHakunaga hicho na mfano Russia walishataarifiwa.
Yaani hata Russia hawawez kupeleka mashambulizi kumuua Zele. Ipo hii treaty ilisainiwa NY kitambo.
Huo mgogoro wala haujaanza 2014, miaka ya sasa ni moto baada ya moshi wa miaka mingi- huyo Bendera mwenyewe ambaye Ukraine wanamplomot sana sasa hivi alikuwa collaborator wa NAZI Germany in ww2...mambo yanatoka mbali haya, usifikiri watu au nchi zinaanza kutwangana tu out of blue..hakuna kitu kama hicho...Matokeo mengi ya vita huwa ni baada ya injustice, ugomvi wa chini kwa chini kwa muda mrefu...2014 alipochukua Crimea kulikuwa na tishio gani? Alipovamia Georgia je? Ni taifa lina wahuni wahuni kama jamaa yako unayemsupport hapo Eastern Congo ila nature imeamua kumalizana naye jumla jumla.
Nani alimuua Gaddafi?Ilikuwaje waka muua Sadam na Gadaffi au Hiyo treat haikuwepo
Mipaka ipi ya Russia ambayo NATO walikuwa wanataka kuingia.Inaepukika kwa maana ya angeacha NATO waingie kwenye mipaka ya RUSSIA au ulikua unamaanisha nini.
Nato ni 32 member wenye uchumi usiopungua dollar 500 trillion sa sjui unapose wanahaha sjui uwa unamaanisha niniWalishachukulia Dunia ya kwao wakawa wanaamua lolote wanavyota Sasa wanahaha mambo yamebadilika kuliko walivyotegemea
Ukraine alishakubali kumaliza mezani lakini USA na allies wake wakamkataza asiingie makubaliano apigane watamsaidia sasa hv wanamkimbiaSema Russia hii vita ilikuwa inaepukika
UkraineMipaka ipi ya Russia ambayo NATO walikuwa wanataka kuingia.
How?Sema Russia hii vita ilikuwa inaepukika
Latvia na Estonia pia wapo wengi. Kama wana asili ya Russia wakaamua kwa hiari yao kuwa raia wa nchi nyingine, hilo linamhusu vipi Russia?Ukraine ina wananchi wengi wenye asili ya kirusi ndio sababu