Urusi yamkosa kosa kumuua Waziri Mkuu wa Ugiriki

Sasa nato (Wezi wa rasirimali) za dunia wanapigana Dunia nzima..
Urusi ni hivyo hivyo mkuu..

Wanajeshi wa Urusi wakisaidiana na kundi la mamluki wa Putin, Wagner wanapigana katika nchi kadhaa za Afrika kama vile Mali, Libya, ivory Coast, Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR), nk...

Kwa malipo ya huduma zao, wanajeshi wa Urusi na mamluki wa Wagner wanapata malighafi mbali mbali kama vile madini ya dhahabu, uranium, almasi, zink, copper, nk.

Pia, kulingana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya SIPRI, 44% ya silaha ambazo ziliuzwa kwa nchi za Afrika kati ya 2017-2022 zilikuwa za asili ya Urusi.
 
Hivi itifak ikoje kumuua rais katika vita, maana naonaga vita inaendelea ila wagen na marais wanaingia na kutoka na wanajulikana kabisa
mara nyingi raisi huwa anatakiwa kukamatwa akiwa hai ili kuepusha madaraka kuangukia mikononi mwa vikundi vya milengo isiyoeleweka!

ndio mana Russia hawawezi kumuua Zele, naye anajua hilo, kwa sababu ukimuua Zele bila kupanga mpango mahususi wa kuhamishia madaraka kwa mwingine inakua hatari zaidi......

si unaona kesi ya Libya na Gadafi, aliuliwa bila kuwa na mpango mahsusi wa kuziba ombwe la uongozi atakaloacha, leo matokeo yake ndio hayo!
 
2014 alipochukua Crimea kulikuwa na tishio gani? Alipovamia Georgia je? Ni taifa lina wahuni wahuni kama jamaa yako unayemsupport hapo Eastern Congo ila nature imeamua kumalizana naye jumla jumla.
Crimea kulikua na kamandi ya Jeshi la wanamaji ya Urusi, baada ya Raisi pro-russia kupinduliwa 2014, na kuwekwa pro-washngton, kulikua na kila dalili za huyu mpya kuwataka urusi waondoe kamandi yao Crimea, ndio mana wakafanya chap kuinyakua Crimea....

Seva (crimea) ndio kamandi pekee yenye maji moto waliyonayo warusi, na hawapo tayari kuipoteza!
 
Hivi itifak ikoje kumuua rais katika vita, maana naonaga vita inaendelea ila wagen na marais wanaingia na kutoka na wanajulikana kabisa
Hakunaga hicho na mfano Russia walishataarifiwa.

Yaani hata Russia hawawez kupeleka mashambulizi kumuua Zele. Ipo hii treaty ilisainiwa NY kitambo.
 
2014 alipochukua Crimea kulikuwa na tishio gani? Alipovamia Georgia je? Ni taifa lina wahuni wahuni kama jamaa yako unayemsupport hapo Eastern Congo ila nature imeamua kumalizana naye jumla jumla.
Huo mgogoro wala haujaanza 2014, miaka ya sasa ni moto baada ya moshi wa miaka mingi- huyo Bendera mwenyewe ambaye Ukraine wanamplomot sana sasa hivi alikuwa collaborator wa NAZI Germany in ww2...mambo yanatoka mbali haya, usifikiri watu au nchi zinaanza kutwangana tu out of blue..hakuna kitu kama hicho...Matokeo mengi ya vita huwa ni baada ya injustice, ugomvi wa chini kwa chini kwa muda mrefu...

Wakati tunaenda Uganda 1978 kumtoa Idd Amini, usifikiri ndo mzozo ulianzia hapo...fukuto na kuminyana chini kwa chini tulianza tangu 1972 huko...
 
Walishachukulia Dunia ya kwao wakawa wanaamua lolote wanavyota Sasa wanahaha mambo yamebadilika kuliko walivyotegemea
Nato ni 32 member wenye uchumi usiopungua dollar 500 trillion sa sjui unapose wanahaha sjui uwa unamaanisha nini
32 hao ni member na bado kuna mataifa rafiki ya Nato
Nguvu ya NATO ni kubwa sana huko israel wanchi kla sku wanakufa mbona BRICS haijaingilia

Tuweke chuki pembeni nguvu ya Nato ni kubwa sana na akuna wakuichallage kwa sasa
 
Back
Top Bottom