Urusi yakataa ombi la Irani kuuziwa mfumo wa ulinzi wa makombora wa S-400

Putin kahofia maisha yake, kwani Israel ingemfanya kitu hajawahi ona yeye binafsi, Netanyahu alienda Moscow na kumwambia ukiwauzia Iran S-400 jua umetangaza vita vikuu na Israel, na Putin akabaki kutoa macho tu, anajua Israel ni nani.. Maana S-300 waliouziwa Syria inapigwa na kuchakazwa kila siku na Israel AirForce wanaichezea kama toy vile yaani, tokea S-300 iende Syria imebakia kama sanamu la maonyesho tu😅😅.. Syria wanashangaa tu..!!

Yaani wewe ndo bogus kabisa Israel wanazipiga S-300 kama matoy kule Syria wakati huohuo Netanyahu kaenda Moscow kukwambia Putin kwamba ole amuuzie Muiran S-400 sasa kwanini asizisubiri akazibomoe hizo s-400 kama anavyozibomoa s-300? Huu ubongo utakuwa wa Lumumba tu maana huko ndo makao makuu ya mabogus
 
Back
Top Bottom