Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,100
- 34,049
Na teknolojia wanachukulia hapohapo Urusi ila Urusi inajifanya haihusiki.Tatizo la Wairan ni moja ukiwakatalia kesho wanatengeneza wao waajemi ndivyo walivyo walikataliwa s300 kipindi cha nyuma wakatengeneza bavar 373 ambao upo sawa na s300
Sio ajabu ukasikia wamekuja na version ya Bavar 474 sawa na s400 maana hawachelewi
Funika kombe....