Urusi yaionya Marekani kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu

Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imesema iwapo Marekani itaamua kuipatia Ukraine makombora ya masafa marefu, itakuwa imevuka mpaka na kuwa ‘mshiriki katika mzozo’ baina ya mataifa hayo mawili.

Marekani imeipatia Ukraine roketi za hali ya juu za mfumo wa kurushia roketi nyingi (GMLRS), ambazo hurushwa kutoka katika mfumo wa mizinga ya juu (HIMARS) na ambazo zinaweza kulenga shabaha hadi umbali wa kilomita 80.

-------------------

Russia’s Foreign Ministry has said that if the United States decided to supply Kyiv with longer-range missiles, it would cross a “red line” and become “a party to the conflict” in Ukraine.



In a briefing on Thursday, Foreign Ministry Spokeswoman Maria Zakharova added that Russia “reserves the right to defend its territory”.



Washington has openly supplied Ukraine with advanced guided multiple launch rocket system (GMLRS) rockets, which are fired from high mobility artillery rocket system (HIMARS) launchers and which can hit targets up to 80km (50 miles) away.



“If Washington decides to supply longer-range missiles to Kyiv, then it will be crossing a red line, and will become a direct party to the conflict,” Zakharova said.



US officials say Ukraine has promised not to use US rockets to strike Russia itself.



HIMARS launchers can also be used to fire longer-range ATACMS tactical missiles, which can have a range of up to 300km (186 miles). A senior Ukrainian official declined to say on August 19 whether Kyiv now had ATACMS.



There has been no full public explanation of an attack on August 9 that hit a Russian air base at Saky, around 200km (124 miles) from the nearest Ukrainian-controlled territory, on the Crimean Peninsula, which Moscow annexed in 2014 in a move not recognised by the international community.

Ukraine has requested and received large quantities of weapons from the US and other Western allies to help it resist the Russian armed forces that were sent into Ukraine in February.

Moscow says it sent troops to prevent Ukraine from being used as a platform for Western aggression and to defend Russian speakers. Kyiv and its Western allies dismiss these arguments as baseless pretexts for an imperial-style war of aggression.

Last month, the US announced $3bn in new military aid to Ukraine – the single largest US aid package for Ukraine since Russia’s invasion. In total, it has committed approximately $10.6bn in security assistance to Ukraine since the beginning of US President Joe Biden’s administration in January 2021, according to the Reuters news agency.



White House national security spokesperson John Kirby told reporters on Wednesday that the Biden administration is likely to announce a fresh military aid package for Ukraine in the “coming days”.

Source: Aljazeera
Si jana tu tumesikia warusi wametelekeza vifaa na kulala mbele
 
Toka Uvamizi uanze Putini anainyo Marekani mpaka yeye mwenyewe kachoka kuonya ikawa anaonya yule Waziri wake sasa miezi 7 ishapita na kila jambo ambalo Urusi imeionya Marekani Marekani wanalivunja kwa makusudi ili Urusi aingie kati lakini haingii mpaka finland na sweden wamepeleka maombi ya kujiunga na NATO pia kashindwa kufanya chochote huyu Mrusi kutu, tunamuonea huruma sana, jana nimemuona live anaipigia magoti china imsaidie baada ya kupoteza eneo kubwa la Khakiv ambalo Ukrean wamelirejesha tena kwao, Urusi imekuwa ikifa pole pole na sasa hana msaada, China aliutambulia mtego wa Taiwan ameona atulie zake mwenye nguvu mpishe.


Ameonya mpaka amechoka kuonya?
 
Back
Top Bottom