Medvedev anajua hasara Urusi iliyoipata baada ya kuingia kichwa kichwa Ukraine.Kwa Israeli ni tofauti, mpaka sasa karibia asilimia arobaini ya eneo la Gaza halikaliki kutokana na uharibifu uliofanywa na Israeli. Hamas wamekimbilia kwenye mashimo kama panya buku.Kumekucha
Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.
Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
Putin kapona?Kumekucha

Kibwagizo tu hicho jeshi la Israel litaingia ardhi jiandaeni kuendelea kuahurumia Hamas msije kulia lia huku kuwekea picha za watoto kutafuta huruma Hamas wamechokoza mchokozi Israel anachelewa kuingia kwa sababu tatu kwanza Marekani kamshauri asubiri apewe kikosi bora cha ardhini,pili kuhusu mateka inatafuta namna ya kuwaokoa tatu jeshi la anga linatengeneza njia kuvunja vunja yale majengo ya Gaza ili wanajeshi wa Israel wasipatwe na wanamgambo wanaojificha kwenye majengo yaleKumekucha
Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.
Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
Una chuki binafsi na waislamMedvedev anajua hasara Urusi iliyoipata baada ya kuingia kichwa kichwa Ukraine.Kwa Israeli ni tofauti, mpaka sasa karibia asilimia arobaini ya eneo la Gaza halikaliki kutokana na uharibifu uliofanywa na Israeli. Hamas wamekimbilia kwenye mashimo kama panya buku.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hasara gani wakati kachukua ardhi yenye mabilioni ya dola ardhiniMedvedev anajua hasara Urusi iliyoipata baada ya kuingia kichwa kichwa Ukraine.Kwa Israeli ni tofauti, mpaka sasa karibia asilimia arobaini ya eneo la Gaza halikaliki kutokana na uharibifu uliofanywa na Israeli. Hamas wamekimbilia kwenye mashimo kama panya buku.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Maliza ugomvi wako na Kiingereza.Drone ya Wanamgambo wa Israel imeshushwa huko Gaza
Israeli drone crashed in the Zeitoun neighborhood of Gaza City.
It’s unknown if it was shot down or crashed due to technical failureView attachment 2794839
Kapona nini.miongoni mwa viumbe wenye akili nyingi duniani ni pamoja na Mr.moscovischt.a.k.a putin.Na sio mabeberu uchwara Nato kwa udhamini wa beberu mkuu kizee chenye upungufu wa akili🤣Putin kapona?
Usichokijua huyo ni myahudiKumekucha
Dmitry Medvedev Mkuu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia ametahadharisha kuwa, oparesheni ya nchi kavu ya Israel itafuatiwa na taathira nzito na za umwagaji damu.
Shirika la habari la IRNA limeripoti kuwa, Dmitry Medvedev leo Ijumaa ameandika katika mtandao wa Telegram kwamba: Msijidanganye. Oparesheni hiyo itaambatana na matokeo mabaya sana na umwagaji damu mkubwa. Medvedev ameendelea kuandika: Nchia za Magharibi zimeichoka sana Ukraine na sasa zinaiunga mkono Israel.
Wanamapambano wa Palestina katika kujibu jinai za Wazayuni mkabala wa raia wa Palestina, tangu tarehe 7 mwezi huu wa Oktoba wameanzisha oparesheni kwa jina la Kimbunga cha Al Aqsa kuanzia Ukanda wa Ghaza dhidi ya ngome na vituo vya utawala wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu; oparesheni ambayo iliambatana na kufeli taarifa za kijasusi za utawala huo na kuwashangaza wanajeshi na watawala wa utawala ghasibu wa Israel.
Dmitry Medvedev akamhudumie babu putin kwanza mambo ya israel katu hayaweziKumekucha

AjichanganyeUna chuki binafsi na waislam
rudi shule mpuuz ww wamesema haijulikan kama imeagushwa au kuanguka yenyew , habar kama hz waislam hawacahkachui akoili nipe pandeDrone ya Wanamgambo wa Israel imeshushwa huko Gaza
Israeli drone crashed in the Zeitoun neighborhood of Gaza City.
It’s unknown if it was shot down or crashed due to technical failureView attachment 2794839
Wenyewe wanasema:Kumekucha