Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,497
- 17,560
Ndio akina nani hao wanaotenda haki?!Kwa wanaotenda haki.
Ndio akina nani hao wanaotenda haki?!Kwa wanaotenda haki.
Ndio akina nani hao wanaotenda haki?!
Hili nalo nenoMimi niulizie tu bei yake ni sh ngapi ninunue mawili niweke ghalani kwangu
Wale wanaolinganiaNdio akina nani hao wanaotenda haki?!
Baada ya ya hiyo link uliyoweka kuniridhisha ,sasa naomba uniletee na maoni ya Lt Col ze kukoyo na msemaji wa WH bi Nalendwa.Wasikilize Us wenyewe wanavyosema
Sometimes ni vizuri ukakubali kuwa kwa sasa Russia katangulia. But wenzetu always wapo maabara na karakana kutafuta majibu View attachment 979935
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hahaa,aisee umenicchekesha sana.bora umesema ukweli.
Aisee.
Kwa watanzania ndio tunaona ni ajabu lkn ni vitu vya kawaida mno.
Wenzako wameandika kitaalamu kwa data na viwango,wewe unaleta ubishi wako wa chuki na wivu wa kiswahili.Sasa nini cha ajabu hapo. Hilo kombora mbona la kawaida mno au kwa kuwa Tanzania hatunalo..!! Warussia wa Manzese tabu sana.
LAZIMA UFANYE ULINGANIFU Haha haa haa.Icbm nyingi zinazidi speed ya mach 20 mfano
M51 SLBM (ICBM) la Ufaransa linakwenda kwa zaidi ya Mach 25
Minuteman III la Marekani linakwenda kwa speed ya zaidi ya Mach 23
Kinachofanya hilo kombora liwe la changamoto wakati wa kulitungua ni kwamba wakati linakimbia katika speed hyo linakua linakwenda zigzag haliendi kama ballistic missiles ambapo zenyewe hua zinafata ile ballistic trajectory hivyo unakua unajua kwamba litatua wapi tofauti na hizi hypersonic.
Kulitungua kwa mifumo ya sasa ni changamoto ndo maana Marekani wameamua kuanzisha Space force kuweka masilaha huko kwa ajili ya kutungua makombora ya hypersonics na pia kushambulia,kwa Sasa Nchi ambazo Zina hii teknolojia ya hypersonics ni Russia,USA na China. Pia Australia mwaka jana walijaribu makombora ya hypersonic pamoja na Marekani kama Nakumbuka vizuri.
Marekani pia wamefanya majaribio mengi ya hypersonic missile Mojawapo ambalo lilifanywa na DARPA mwaka 2011 lilikwenda speed ya Mach 20.
Kusoma zaidi unaweza pitia hapa First footage of Falcon HTV-2 hypersonic spacecraft test flight released | Daily Mail Online
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua nini? Hata mswaki wa mti tu huwezi kutengeneza.
Leta utafiti wa kisayansi kuonyesha kwamba haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEPWAYAKwa watanzania ndio tunaona ni ajabu lkn ni vitu vya kawaida mno.
Mimi niulizie tu bei yake ni sh ngapi ninunue mawili niweke ghalani kwangu
Sasa nini cha ajabu hapo. Hilo kombora mbona la kawaida mno au kwa kuwa Tanzania hatunalo..!! Warussia wa Manzese tabu sana.
Kimsingi hilo kombora linaweza kuonekana ktk radar au satellite lakini kuli intercept kwasasa hakuna air defence system yoyote inayoweza kutungua sababu mmoja ni speed yake kua Mara 17 zaidi ya spidi ya sauti....Hili kombora linaenda mach 27 mpaka mach 30 na mach 1 ni approximately na 1000Km/h sasa hili kombora lina mach 30 apo unaongelea speed roughly 30,000Km/h hii ni speed Kali sana ata ndege vita km Mig yenye speed kubwa ni Mach 3....Intercontinental Ballistic missiles baadhi zina speed ya mach 10 hadi 12 na bado yanapigiwa kelele na mataifa makubwa maana kuyadungua ktk speed hiyo lazima uwe na interceptors missiles zenye speed kubwa kuliko hiyo yani interceptor missiles iwe ni Chui uku Hostile missile iwe ni mbuzi apo mathematically itaweza kukamata...Ebu fikirika km magari ya Formula 1 linaenda Speed mpaka 360Km/h na apo inakua ngumu Ku control vipi hilo kombola la Vanguard hip her sonic missile lenye speed ya 30,000Km/h..... Kwa speed hiyo ya Mach 30 km ni ngede kutoka Dar hadi Vancouver unaweza tumia Dakika 5 tu....Au Bukoba hadi Barcelona Spain ukatukia 3 minutes only
Sent using Jamii Forums mobile app
Dirk Zimper from the German Aerospace Centre told the country’s public broadcaster Deutschlandfunk (German Radio) that there are no effective defence systems against the hypersonic glide vehicle Avangard, which was successfully tested in December. According to the specialist, although the work on developing reliable countermeasures is underway, it is “really difficult” to intercept a hypersonic missile.Kwa kuongezea hayatembei kwenye straight line ,trajectory yake inakuwa kama coil flan au zig-zag ukiongeza na speed yake huwezi intercept kwa existing technology
Hawana jinaWale wanaolingania
lkn sio kwamba nabisha kila kitu huwa nabishia vitu ambavyo ni nadharia tuHa ha ha hahaa,aisee umenicchekesha sana.bora umesema ukweli.
hivi unaijua BUK-23 ya bulgaria?Hv mnaongea ili mradi muonekane mmeandika au mna uelewa na mnachokiandika?
This is hypersonic mazafanta
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinganifu ni lazima Mkuu,ni kama kwenye Essay lazima uweke Conclusion na hiyo ndo ilikua conclusion kwa upande wanguLAZIMA UFANYE ULINGANIFU Haha haa haa.
Nashukuru umekubali matokeo ingawa kwa mlango wa nyuma,Marekani kuanzisha Space Force haikua hoja inayojadiliwa hapa.
soma komenti namba 21 uone makamanda wakuu Pentagon wanasemaje juu ya kifaa hicho cha putin.
Mkuu Bullava katuwekea upande wa pili unavyosema,bila chenga.