Urusi yafanya Jaribio la kombora Jipya

Urusi yafanya Jaribio la kombora Jipya

Kimsingi hilo kombora linaweza kuonekana ktk radar au satellite lakini kuli intercept kwasasa hakuna air defence system yoyote inayoweza kutungua sababu mmoja ni speed yake kua Mara 17 zaidi ya spidi ya sauti....Hili kombora linaenda mach 27 mpaka mach 30 na mach 1 ni approximately na 1000Km/h sasa hili kombora lina mach 30 apo unaongelea speed roughly 30,000Km/h hii ni speed Kali sana ata ndege vita km Mig yenye speed kubwa ni Mach 3....Intercontinental Ballistic missiles baadhi zina speed ya mach 10 hadi 12 na bado yanapigiwa kelele na mataifa makubwa maana kuyadungua ktk speed hiyo lazima uwe na interceptors missiles zenye speed kubwa kuliko hiyo yani interceptor missiles iwe ni Chui uku Hostile missile iwe ni mbuzi apo mathematically itaweza kukamata...Ebu fikirika km magari ya Formula 1 linaenda Speed mpaka 360Km/h na apo inakua ngumu Ku control vipi hilo kombola la Vanguard hip her sonic missile lenye speed ya 30,000Km/h..... Kwa speed hiyo ya Mach 30 km ni ngede kutoka Dar hadi Vancouver unaweza tumia Dakika 5 tu....Au Bukoba hadi Barcelona Spain ukatukia 3 minutes only

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kuongezea hayatembei kwenye straight line ,trajectory yake inakuwa kama coil flan au zig-zag ukiongeza na speed yake huwezi intercept kwa existing technology
 
Mkuu,unajua speed inayofikia Mach 8 ikoje? Kwa sababu speed ya ndege kama Dreamliner ni mach 0.8 kuelekea 0.9. Ndege vita nyingi huishia mach 2-3.5,tena hiyo ni supersonic speed. Lakini kumbuka hilo kombora ni HYPERSONIC,ni hatari tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watanzania ndio tunaona ni ajabu lkn ni vitu vya kawaida mno.
 
Icbm nyingi zinazidi speed ya mach 20 mfano
M51 SLBM (ICBM) la Ufaransa linakwenda kwa zaidi ya Mach 25
Minuteman III la Marekani linakwenda kwa speed ya zaidi ya Mach 23

Kinachofanya hilo kombora liwe la changamoto wakati wa kulitungua ni kwamba wakati linakimbia katika speed hyo linakua linakwenda zigzag haliendi kama ballistic missiles ambapo zenyewe hua zinafata ile ballistic trajectory hivyo unakua unajua kwamba litatua wapi tofauti na hizi hypersonic.
Kulitungua kwa mifumo ya sasa ni changamoto ndo maana Marekani wameamua kuanzisha Space force kuweka masilaha huko kwa ajili ya kutungua makombora ya hypersonics na pia kushambulia,kwa Sasa Nchi ambazo Zina hii teknolojia ya hypersonics ni Russia,USA na China. Pia Australia mwaka jana walijaribu makombora ya hypersonic pamoja na Marekani kama Nakumbuka vizuri.

Marekani pia wamefanya majaribio mengi ya hypersonic missile Mojawapo ambalo lilifanywa na DARPA mwaka 2011 lilikwenda speed ya Mach 20.
Kusoma zaidi unaweza pitia hapa First footage of Falcon HTV-2 hypersonic spacecraft test flight released | Daily Mail Online
Sent using Jamii Forums mobile app

ICBM mach speed >25 ??!!🤔🤔🤔
 
Kimsingi hilo kombora linaweza kuonekana ktk radar au satellite lakini kuli intercept kwasasa hakuna air defence system yoyote inayoweza kutungua sababu mmoja ni speed yake kua Mara 17 zaidi ya spidi ya sauti....Hili kombora linaenda mach 27 mpaka mach 30 na mach 1 ni approximately na 1000Km/h sasa hili kombora lina mach 30 apo unaongelea speed roughly 30,000Km/h hii ni speed Kali sana ata ndege vita km Mig yenye speed kubwa ni Mach 3....Intercontinental Ballistic missiles baadhi zina speed ya mach 10 hadi 12 na bado yanapigiwa kelele na mataifa makubwa maana kuyadungua ktk speed hiyo lazima uwe na interceptors missiles zenye speed kubwa kuliko hiyo yani interceptor missiles iwe ni Chui uku Hostile missile iwe ni mbuzi apo mathematically itaweza kukamata...Ebu fikirika km magari ya Formula 1 linaenda Speed mpaka 360Km/h na apo inakua ngumu Ku control vipi hilo kombola la Vanguard hip her sonic missile lenye speed ya 30,000Km/h..... Kwa speed hiyo ya Mach 30 km ni ngede kutoka Dar hadi Vancouver unaweza tumia Dakika 5 tu....Au Bukoba hadi Barcelona Spain ukatukia 3 minutes only

Sent using Jamii Forums mobile app
Balaaaaaa

Sahihisho speed mach 8, siyo mach 27. kwa speed ya mach 8 kombora linalipua target umbali wa maili 200 ndani ya muda usiyozidi sekundi 109! Tuwe wapole.
 
Back
Top Bottom