URUSI yaendelea kuzuia (kublock) websites za ngono

Nature

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
814
2,184
Idara ya Usalama wa mitandaoni nchini Urusi (Roskomnadzor), imeendelea kufungia na kuzuia websites na mitandao mikubwa inayojihusisha na uonyeshaji na usambazaji wa Video na Picha za ngono (Ponografia) kupitia mtandao wa internet.

Kuanzia mwezi april mwaka 2015 mpaka mapema mwaka huu wa 2017 zaidi ya websites kumi na moja 11 zimefungiwa kabisa na hazipatikani kwa njia yoyote ile mtandaoni nchini Urusi, jambo ambalo limezua hasira kwa watembeleaji na wapenzi wa mitandao hiyo nchini Urusi.

Miongoni mwa mitandao maarufu ya Ponografia iliyofungiwa ni pamoja na Pornhub, Youporn, Bangbros na Brazzerz, yote ya nchini Marekani.

Sababu kuu za kufungiwa mitandao hii ni kile kilichoelezwa kuwa ni Kuporomoka kwa maadili na Kuathiri tabia na Ukuaji wa kiakili wa watoto nchini humo

1b6944ad0c644b95560df2adc730baa9.jpg


Russia's media watchdog, Roskomnadzor, has blocked access to two of the world's largest pornography websites.
Internet service providers had until Tuesday to implement the ban.
The sites now redirect to a message explaining they have been blocked "by decision of public authorities".
In 2015, the authorities banned 11 popular pornography websites, saying many failed to protect children "from information harmful to their health".
Analysis by Vitaliy Shevchenko, BBC Monitoring
The decision was made following two separate court rulings, which said the websites "spread pornography".
Sexually explicit content is not outlawed in Russia, but the law bans "the illegal production, dissemination and advertisement of pornographic materials and objects".
It is not uncommon for Russia to ban websites. The government agency Roskomnadzor maintains a blacklist that now includes thousands of them.
Access is usually blocked for violating the notoriously vague extremism legislation or child protection laws.
Websites critical of the Kremlin have been blocked too, and at one point Wikipedia was blacklisted.
Following the 2015 ban, one woman asked Roskomnadzor on Twitter whether it could recommend an alternative.
The agency replied: "You can meet someone in real life."
On Tuesday, it said its earlier tweet was "still relevant".
However, open rights campaigners have warned that local bans can be defeated.
"Blocking porn is the fastest way to ensure widespread adoption of censorship circumvention in your country," said Eva Galperin, global policy analyst at the Electronic Frontier Foundation.
One of the affected porn sites offered Roskomnadzor a premium subscription to its service, in exchange for lifting the ban.
The government agency said it was "not in the market" for such an offer.
Nadya Tolokonnikova, lead singer from punk band Pussy Riot, joked that the ban was "a blow below the belt". Russia blocks Brazzers to ‘protect human psyche’ but court orders unlock of YouPorn (POLL)

Nadhani hili lingefanyika nchini kwetu ili kuokoa kizazi chipukizi cha vijana na watoto nchini kwetu.
 
Mh lakini kuna 9tube porn fay xnxx xtube na mengine kibao bado sana hahahaa wamesahau na rahatupu blog spot
 
Kuporomoka kwa maadili kivip wakat ngono nikitendo cha kibiolojia,Hao wanaangaika tu mana uangalie ngono usiangalie bado utafanya tu.Tena siku hizi nadhani uwepo wa burudani nyingine nyingine kama michezo,filamu n.k zinawafanya watu wanakua busy kiasi chakuwafanya hawapati muda sana wakusikiliza matakwa ya mwili.Ila ukitafit utaona uko zaman kugegedana kulikua kwingi sana.
 
Kuporomoka kwa maadili kivip wakat ngono nikitendo cha kibiolojia,Hao wanaangaika tu mana uangalie ngono usiangalie bado utafanya tu.Tena siku hizi nadhani uwepo wa burudani nyingine nyingine kama michezo,filamu n.k zinawafanya watu wanakua busy kiasi chakuwafanya hawapati muda sana wakusikiliza matakwa ya mwili.Ila ukitafit utaona uko zaman kugegedana kulikua kwingi sana.
Upp serious mkuu hata hao wanabaiolojia wanakosoa uangaliajiwa blue
Si kitu kizur kisakolojia na kimaadili pia ni uahenz na upuuz usitetee ujinga
 
Back
Top Bottom