The Family Wallet
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 5,370
- 8,624
pro nato roho zinawauma😁😁😁Tatizo Pro Putin wanajizima data makusudi,hata hizo soda walizoanzisha kwani zina tofauti gani na Mo Cola na Azam Cola.Watafail tu na watarudi pale pale.
pro nato roho zinawauma😁😁😁Tatizo Pro Putin wanajizima data makusudi,hata hizo soda walizoanzisha kwani zina tofauti gani na Mo Cola na Azam Cola.Watafail tu na watarudi pale pale.
Wanna fb yao mbona bossWaanzishe na wasapu, instagram, google yao and all that
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
nyiny huwa ndo walalamikaj wakubwa nakumbuka kweny utawala wa JPM , kuna vitu tulikosa mlikuwa mbele kupiga kelele , ila leo hii mnahis warus wana akili km za mangosha kuwa wanywe chochote tu , kuna uchungu wanaupata kukosa yale waliyozoea , hii sio siriUkikosa sprite si unakunywa 7up kama mbadala?
cocca=pepsi
fanta=mirinda
bitterLemon= tonic
HAKUNA CHA AJABU