Urusi waahidi kumbomoa Marekani akishambulia Syria!

Urusi waahidi kumbomoa Marekani akishambulia Syria!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
4B0F6A7C00000578-5604471-image-m-3_1523486744147.jpg

4B0A64E200000578-5604471-image-a-29_1523475214807.jpg

Firepower: The S-400 is capable of shooting down up to 80 targets simultaneously and is said to be able to travel more than 10,000mph; Russia is also hoping to sell the system to Iran and Turkey, and a successful demonstration against American hardware would only help sell the $400m per unit system

Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/article-5604471/Deadly-Russian-S-400-ring-steel-protects-Assad.html#ixzz5CSwcP6DW

Majeshi ya Urisi inasemekana imetega makombora aina ya S-400 kuizunguka Syria ikiwasubiri tu Marekani na wenzake washambulie Syria.
Makombora ya S-400 inaseekana ni ya kisasa Zaidi na ni defensive.
Uwezo wa makombora haya uko katika spidi.
Spidi yake inafikia 16,000km/hr(10,000mph), spidi ambayo si Ndege ya Marekani wala kombora yaweza kuifikia kirahisi.
Changamoto itakuwa katika kung'amua kombora la Marekani linalo fyatuliwa.
Sensor zilizo angani(za Urusi) zikyaona tu makombora ya Tomahawk ya kimarekani yakiingia angani, haraka sana within seconds S-400 zitawafuatilia na kuiangamiza kama mwewe awaangamizavyo vifaranga.
Source:Deadly Russian S-400 'ring of steel' protects Assad | Daily Mail Online
 
Mkuu, wahenga walinena "Fahari wawili wapiganapo zinazoumia ni nyasi". Je, TZ yetu na nchi zinazofanana nasi nadhani ndiyo nyasi zilizotajwa na wahenga!!?.
 
Ni vita ya maneno tu hiyo. Hakuna asiyeogopa hasara ya vita!!!
 
Marekani hawezi kwenda vitani na mrusi,hapo wanataka kujishusha kiheshima mbele ya mrusi,marekani alitakiwa awape silaha nzito waasi ili wamtoe asad na wakijaribu kuingia watakiona cha mtema kuni,watu watawaona bajeti yao kubwa ya kijeshi haina maana yoyote mbele ya bajeti ndogo ya mrusi,marekani ananunua silaha kwenye makapuni,mrusi anatengeneza,hapo watu wanashindwa kuelewa,marekani anatoa oda ya kutengenezewa silaha,urusi anatoa hela ya kuwalipa wataalam wake waliopo kwenye viwanda vyake,ndoo maana ukiona bajeti ya urusi ni ndogo lkn ana nguvu kubwa kisilaha,sisi yetu macho lkn marekani akijaribu kuingia vitani na mrusi atazalilika
 
Kwa maneno tu kila mtu anaweza kusema lolote lile.

Kwa mfano, mimi kuna watu humu wanasema wananitafuta sijui wanipige.

And I’m like....don’t talk about it, be about it. Just make the date.

Mpaka hivi sasa hakuna lolote.

People just like to talk tough when they are hiding in their safe places and can’t back up worth of shit of what they talk about.
 
Kwani we Mmarekani?
We mshabiki tu wa Marekani!
Na USA babe, Putin atawatoa kamasi.
 
Kwa maneno tu kila mtu anaweza kusema lolote lile.

Kwa mfano, mimi kuna watu humu wanasema wananitafuta sijui wanipige.

And I’m like....don’t talk about it, be about it. Just make the date.

Mpaka hivi sasa hakuna lolote.

People just like to talk tough when they are hiding in their safe places and can’t back up worth of shit of what they talk about.
Hahahaaaa mkuu unataka kupigwa?

Nitafute mimi niwaoneshe kaz kwanini wakupige mkuu
 
Kwa maneno tu kila mtu anaweza kusema lolote lile.

Kwa mfano, mimi kuna watu humu wanasema wananitafuta sijui wanipige.

And I’m like....don’t talk about it, be about it. Just make the date.

Mpaka hivi sasa hakuna lolote.

People just like to talk tough when they are hiding in their safe places and can’t back up worth of shit of what they talk about.
wao wanaongea mrusi kashaweka mguu sawa urusi hana utani jomba
 
Putin hawezi fanya lolote wewe!
Urusi imemtafadhalisha Trump athubutu kukupiga hizo Tomahawks.
Urusi imeshasema si tu atazitungua hizo Tomahawks, lakini atazisambaratisha hata merikebu zilikotokea.

Sasa mtu hatshiwi nyau hapo, mwanga ugali nimwage mboga!
 
Back
Top Bottom