Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,797
- 19,833
😳😀Wanauwezo mkubwa! Yaani kitendo cha kuwataja katika mtandao ,tayari tumeshadukuliwa na wanatusoma jf kama tunawaongea kwa mabaya!
Asante sana mkuu!!!
- Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
- Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
- Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
- Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
- Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
- Ni taifa lenye baridi kali sana
- Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
Asante sana mkuu kwa maelezo yenye darasa la kutosha. Ngoja niyanywe kwanza haya halafu kama kuna swali nitakuja mkuu
- Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
- Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
- Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
- Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
- Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
- Ni taifa lenye baridi kali sana
- Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.Nchi yenye eneo kubwa sana,inakaribia ukubwa wa bara la africaView attachment 823683
Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.
- Ni taifa la kijamaa..... (wanafata falsafa za Karlmax)
- Ni taifa linalo beba asilimia 11% ya nchi kavu ya dunia (linapakana na mabara yote kasoro Afrika australia na Antactica)
- Ni taifa kubwa lenye Nuclear Arsenal nyingi kuliko mengine yote
- Kwenye anga za kimataifa wana jali Utu zaidi ya madili (kwamfano, vita ya Syra mataifa menge yalitoa ofa kwa Urusi ili iache kumlind "dicteta" Assad. Pia tunaona viongozi wengi wa magharibi wakipishana huku kuishawishi Urusi juu mlengo wake huko Syria
- Ni taifa lililo wekewa vikwazo na Marekani juu ya Mgogoro wa Krimea. (ukweli nin kwamba watu wa Crimea walipiga Kura huru na kuchagua kuwa sehemu ya Urusi kama vile watu wa Forkland walivo piga kura na kuchagua kuwa sehemu ya Uingereza badala ya Agentina ingawaje kisiwa hicho kipo karibu sana na Agentina badala ya Uingereza
- Ni taifa lenye baridi kali sana
- Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran lakini Dunia inalilia Wayahudi 7Milioni.
- Kwenye vita ya pili ya Dunia walikufa warusi 70Million yaani sawa na Taifa zima la Venezuela au Iran
Wajua wahanga wa Maji maji walikufa wangapi? walizikwa wapi?Duhhhh hatari sana! Wote hao walizikwa wapi?
lakini ni kubwa na ni eneo lao.Usipumbazwe na ukubwa wa hilo eneo. Sehemu kubwa ni barafu. Maeneo kama yale ya siberia ni barafu tupu huko. Hivyo 99% ya population hiko western part of the country.