Acha kutokwa na povu ww, nadhani hata mtoto wa darasa la saba hashindwi kujua kwamba USA ndo inafadhili boko haramu, Ina maana haujui kuwa USA imegoma kuiuzia siraha Nigeria kupambana na hilo kundi? Ni kwanini? Je unadhani kwa technologia waliyonayo USA wanashindwa kuwaona hata wale mabinti waliotekwa walipo? Acha ushabiki wa kijinga. Alafu wew nimeshakuona kwenye thread nyingi tu kazi yako ni kuitetea na kuipa sifa USA.