Mwanasiasa mtata
JF-Expert Member
- Oct 25, 2022
- 1,521
- 3,782
Acha kukariri, NATO kwasasa wanaiogopa Urusi kama ukoma. Sanasana nchi za NATO zilizopo ulaya hakuna nchi hata moja inayotamani kuweka mzigo na Urusi.Hawajashindwa sema zele alikuwa anasita sita kujiunga NATO, kma kweli huyo Putin wako ni kidume avamie taifa lolote lililojiunga nato..
Ndipo uje kubwabwaja hapa...ππ
Sahau, hakuna malidhiano hapo. Hapo Ukraine ni kupata kipondo mpaka wanyooshe mikono juuhii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
Acha kuchekeshwa watu. Miaka miwili amemshindwa jirani yake, ndio atafanya Nini Sasa.Kila siku mabomu ya Russia yanapita Armenia na NATO wako kimya nchi za NATO zote hata zinjiunge zote haziwezi urusi.
Hizo nchi mia unazijua?. Ni aibu Sana kwa Urusi mwaka wa pili anahangaika tu. Alidhani Ukraine angeichukua kwa siku tatu. Mjinga kweli Urusi.Nonsense wakati nchi 100 za ulaya na Marekani zimeshindwa wewe wa nchi ovyo utaweza nini
Apige Sasa mwanachama wa NATO Kama anao uwezo.Kila siku mabomu ya Russia yanapita Armenia na NATO wako kimya nchi za NATO zote hata zinjiunge zote haziwezi urusi.
Nani amekuambia urusi anataka kuchukua Ukraine yote?urusi anataka Ukraine awe neutral lakini Ukraine amekata ndo maana ameamua kuchukua baadhi ya maeneo kutengeneza buffer zone.hakuna nchi inayoweza kumeza nchi nyingine sasa hivi.Hizo nchi mia unazijua?. Ni aibu Sana kwa Urusi mwaka wa pili anahangaika tu. Alidhani Ukraine angeichukua kwa siku tatu. Mjinga kweli Urusi.
Mbona nyie hamna akili hivi?NATO yenye hataki vita ya moja kwa moja na urusi ndo maana juzi mabaki ya mabomu ya urusi yalipatikana Armenia na NATO wakanyamaza.Apige Sasa mwanachama wa NATO Kama anao uwezo.
Kama wanamuogopa wasingempatia zele siraha tena wakifahamu kuwa siyo mwanachama wao ila bado hawaachi kumsaidia.Acha kukariri, NATO kwasasa wanaiogopa Urusi kama ukoma. Sanasana nchi za NATO zilizopo ulaya hakuna nchi hata moja inayotamani kuweka mzigo na Urusi.
Baba lao USA anaogopa kuutumia uwanja wa vita (Ukraine) kujipimisha ubavu na mwamba Putim
We tema mateHuyo Mrusi ata sisi watz tunamtoa kimavi ...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mrusi anapigana kwa akili sana.NATO nao waliona wanapigana kwa akili kwa kuisogelea urusi siku baada ya siku.Akili yao imekuwa mavi sana.Apige Sasa mwanachama wa NATO Kama anao uwezo.
Kwani urusi wakati anachukua crimea alijua anapigana na nani?Wapi urusi kasema ni operation ya siku tatu?urusi alijua anapigana na nani kwahiyo hawezi kusema hivyo ebu tumieni akili hata kidogo au nyie huwa hamna akili.
Mbona mnasema urusi anapigana na nato mara Ukraine wanaendelea kupata kipondo sasa Ukraine ndio nato au urusi anapigana na nani?Sahau, hakuna malidhiano hapo. Hapo Ukraine ni kupata kipondo mpaka wanyooshe mikono juu
Wewe ndio hufahamu unacho kiongea na wewe ndio ulitakiwa upate elimu,mfano wako hauna mantiki huwezi ilinganisha Rawana vs Kenya na Russia.Wewe naye ni kilaza tu, unasema kwa mfano Rwanda au Kenya wasijiunge na kambi wanazoona zina faida kwao kisa hizo kambi ni adui wa Tanzania?
Yaani ujuhi hata unachokisema, ukosefu wa elimu ni hatari sana kwa Taifa aise!
Hivi ni kitu gani mnachotaka ashindehii Vita itaisha kwa maridhiano , hapatakuwa na mshindi. marekani na NATO yake hatakuwa tayari kupoteza kuona Russia anashinda , pia Russia hayuko tayari kupoteza, yaani hapa kila mmoja anaouwezo wa kumfanya mwingine asishinde na ndio hapo hapatakuwa na mshindi kitakachofanyika ni maridhiano , na soon wataweka maridhiano tu.
Umeota nini leo mkuu? wewe unaskia makamanda wa Urusi hadi wanakamatwa bado una matumaini urusi ashinde vitaNasema Russia wakishinda hii vita basi ujue ndio mwisho wa NATO , na USA , na atanogewa kuchukua maeneo mengine ya nchi jirani kama Poland ,Sweden , Finland na atazidi kujipanua zaidi, ndio maana USA na NATO wameamua kufa na kupona kwenye hii vita