Urusi inaonewa sana ila ni Imara

Mkuu hapa Kuna kitu siyo bure Na Wamarekani kwa unafki hawajambo ! Ninachokiona Uturuki kuja kuwaamini tena US itachukua some decades.

.

Russia doomsday plane,ordered to standby as US warship heading towards Turkey water
 
Hakuna wa kuwaweka chini ya ulinzi kikosi cha Marekani tena kambi yenye zana za siri. Dunia ingeshawaka moto.
 
Reactions: MC7

kwa hiyo wewe umejipa sifa ya kuijua vizuri marekani?! sifa za kijinga
 
Mturuki ni kiboko yaani hawa walipigana miaka 23 mfululizo halafu wanapumzika wanaanza tena kwa miaka 12 mmmh wana roho mpaka Russia karudisha uhusiano wa kibiashara. Anatisha
Naona ni tegemeo la pande zote ila siri anaijua mturuki yupo upande gani
 
Reactions: MC7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…