Urusi imeuvunja moyo wangu

Yaani ili MAHABA yako yarudi basi ni lazima atumie "NUCLEAR BOMB "?!!! 😲🤣🤣

Madhara ya hilo "dubwana" si kwa adui zake tu bali hata kwake kwani ataufungua mlango nchi za magharibi nao watumie silaha hizohizo....mwisho wa siku anaweza asitoboe hata na yeye.....

#Siempre JMT 🙏
 

Tuliza wenge. Muache Jemedari Vladimiri Putin amalize kazi tukufu aliyoianza.

Majenerali kufia vitani ni tunu kwao na ni sehemu ya collateral damage. Ukraine ni taifa lenye jeshi hivyo isingewezekana eti vita viwe vya kindezi bila hasara kwa Urusi.

Pia ukiangalia Urusi imefungwa mikono kiuchumi ukiachilia mbali Ukraine kusaidiwa na nchi zaidi ya 40. Kimsingi mpaka kufika hapa, tumpe kongole Putin na vijana wake wanaoendeleza kichapo kwa wale mashoga!
 
Ndo maana mkifungua biashara zinakufa. Kwaiyo serekal ijichotee mahela tu.
 

Ingekuwa ni hivyo kuwa US/ EU wanamtegemea kwa kila kitu basi Urusi angekuwa kwa top 3 kwa Mataifa yenye nguvu zaidi kiuchumi Duniani,lakini lwa sasa hata kwa top 15 hayupo,hii kauli yako inakosa mashiko.
 
Hiyo Urusi unavyoisifia au unayoidhania ilivyo basi elewa kuwa sivyo ilivyo. Urusi inaendeshwa kirushwa na wababe wachache wa magenge "Oligarchs" ya ufisadi wa hali ya juu.

"organized crime" ndiyo inaiendesha Urusi.
 
makampuni binafs ndo yanauza gesi na mafuta sio serikali , serikali inakusanya tu pesa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
makampuni binafs ndo yanauza gesi na mafuta sio serikali , serikali inakusanya tu pesa

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Wewe usifikiri upuuzi unaofanywa nchini kwako ndo unaofanywa na urusi.

Urusi haina sera ya kipuuzi ya ubinafisishaji kama nchi yako, Rasilimali zote zipo under full control of government hayo makampuni unayosemea niya serikali ya urusi nasiyo ya Mtu.
 
Sisi hatuyajui hayo tuko byzy na operations [emoji23]


[emoji116][emoji116]
Islander imeshafanya yake huko magaidi wa Nazis wa Nato tunazidi kuwafukia kwenye vifusi
[emoji116]

[emoji91][emoji91][emoji91]In one successful missile strike, Russian force bury 90 Ukrainian fighters under rubble in a school in the Belgorovka settlement in the Popasnaya district of LNR, where they were barracked, as reported by the Ukrainian head of the Lugansk region. https://t.co/KocrX8cRkY

Thirty bodies have been dug up so far, 60 more are being searched for[emoji91][emoji91][emoji91]2/2
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukweli usio pingika jamaa amepigana vita isiyo na mikakati yani anashambulia tu ni kama anacheza ule mpira wa makara anajipigia tu, puu pu! mara apate goli mara ajifunge.
Cry more[emoji116][emoji116]
 
Keshashindwa labda kwa sasa ajimegee maeneo na hivyo kusababisha counter attack muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…