Urusi imeshajiandaa na hatua za kuichukulia hatua Lithuania

STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Posts
8,633
Reaction score
16,599
Moscow imekamilisha maandalizi yake ya hatua za kukabiliana na Lithuania na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuzuia usafiri wa kwenda Kaliningrad na itaanza kuzitekeleza ikiwa hali haitakuwa sawa katika siku chache zijazo, alisema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria

Zakharova : "Hatutasubiri kwa muda usiojulikana. Kwa mara nyingine tena tunaonya kwamba ikiwa hali haitatulia katika siku zijazo, basi Urusi itachukua hatua kali dhidi ya Lithuania na EU, ambayo maandalizi yake tayari yamekamilika. Suluhu la tatizo

NB : LITHUANIA WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA IKIWA NA WAO WANAISIKILIZA MAREKANI AMABAYO IKO FAR KWA MILES

20220709_084443.jpg
 
wamechoka kuishi Iskander is coming soon
Nenda YouTube ukasome historia ya haya Makombora ya Nyuklia ya Marekani,Tangu kusambaratika kwa Umoja wa Kissoviet hayajawahi Kupewa Promo make kitisho Cha Urusi dhidi ya NATO kilipunguzwa kwa 60% Kiuchumi na Kijeshi.

1.Titan II Nuclear Missile
2.Minuteman Nuclear Missile.

Hiyo ni Aina 2 TU Kati ya Aina 45 za Makombora ya Nyuklia ya Marekani kipindi Cha Vita baridi. Kila Aina ya Kombora kulikuwa na Makombora zaidi ya 500 ya Titan II,900 ya Minuteman. Hayo Ni Makombora ya ICBM (Intercontinental Ballistic Missiles).

Mpaka Sasa,Marekani haijatishia kutumia Makombora ya Nyuklia dhidi ya Urusi,Zaidi tunaona Urusi ikitishia kutumia Nyuklia dhidi ya NATO,Ukimya wa NATO kutishia kutumia Nyuklia dhidi ya Urusi Kama inavyofanya Urusi imechukuliwa Kama udhaifu wa NATO na watu wengi ambao Mimi nawaita Wasenge
 
Maneno ya west tu kama walivyotuaminisha kuwa Rusia ni maskini kumbe ndiye baba yao kiuchumi
Zaidi ya vikwazo vya Mafuta na Gesi (Raw materials ambazo walipewa na Mungu) ambavyo vinaathiri nchi maskini,Ni kipi ambacho Urusi inatishia kuweka vikwazo kwa nchi za Magharibi? Au hujui kwamba baada ya Vikwazo vya Magharibi,Sasa Urusi na Iran wanagombania Soko la India na China kuuza Mafuta kwa Magendo? Au unajitoa ufahamu?
 
Nenda YouTube ukasome historia ya haya Makombora ya Nyuklia ya Marekani,Tangu kusambaratika kwa Umoja wa Kissoviet hayajawahi Kupewa Promo make kitisho Cha Urusi dhidi ya NATO kilipunguzwa kwa 60% Kiuchumi na Kijeshi.

1.Titan II Nuclear Missile
2.Minuteman Nuclear Missile.

Hiyo ni Aina 2 TU Kati ya Aina 45 za Makombora ya Nyuklia ya Marekani kipindi Cha Vita baridi. Kila Aina ya Kombora kulikuwa na Makombora zaidi ya 500 ya Titan II,900 ya Minuteman. Hayo Ni Makombora ya ICBM (Intercontinental Ballistic Missiles).

Mpaka Sasa,Marekani haijatishia kutumia Makombora ya Nyuklia dhidi ya Urusi,Zaidi tunaona Urusi ikitishia kutumia Nyuklia dhidi ya NATO,Ukimya wa NATO kutishia kutumia Nyuklia dhidi ya Urusi Kama inavyofanya Urusi imechukuliwa Kama udhaifu wa NATO na watu wengi ambao Mimi nawaita Wasenge
Wewe zuzu mbona hypersonic tu inawashinda....

Bloomber

US Hypersonic Missile Fails in Test in Fresh Setback for Program​

  • Pentagon says problem took place following missile ignition
  • China, Russia and North Korea pressing ahead with hypersonics
By
Jon Herskovitz and
Anthony Capaccio
+Follow
June 30, 2022, 6:20 AM GMT+3

A flight test of a hypersonic missile system in Hawaii ended in failure due to a problem that took place after ignition, the Department of Defense said, delivering a fresh blow to a program that has suffered stumbles.
It didn’t provide further details of what took place in the Wednesday test, but said in a statement sent by email “the Department remains confident that it is on track to field offensive and defensive hypersonic capabilities on target dates beginning in the early 2020s
 
Mbona hujasema kuwa marekani ni taifa la kishetani kwani ni taifa pekee duniani lillowahi kutumia bomu la nyuklia kwa watu wasio na hatia
 
Zaidi ya vikwazo vya Mafuta na Gesi (Raw materials ambazo walipewa na Mungu) ambavyo vinaathiri nchi maskini,Ni kipi ambacho Urusi inatishia kuweka vikwazo kwa nchi za Magharibi? Au hujui kwamba baada ya Vikwazo vya Magharibi,Sasa Urusi na Iran wanagombania Soko la India na China kuuza Mafuta kwa Magendo? Au unajitoa ufahamu?
Nani anayeuza mafuta Kwa magendoo mjinga kweli toka Lin Rusia akauza mafuta yake Kwa magendo au unaisi umoja WA ulaya na Marekani wakisusa kununua mafuta wengine wataacha kununua embu kakojoe ulale vizuri
 
Moscow imekamilisha maandalizi yake ya hatua za kukabiliana na Lithuania na Umoja wa Ulaya kuhusiana na kuzuia usafiri wa kwenda Kaliningrad na itaanza kuzitekeleza ikiwa hali haitakuwa sawa katika siku chache zijazo, alisema msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi Maria

Zakharova : "Hatutasubiri kwa muda usiojulikana. Kwa mara nyingine tena tunaonya kwamba ikiwa hali haitatulia katika siku zijazo, basi Urusi itachukua hatua kali dhidi ya Lithuania na EU, ambayo maandalizi yake tayari yamekamilika. Suluhu la tatizo

NB : LITHUANIA WANACHOKITAFUTA WATAKIPATA IKIWA NA WAO WANAISIKILIZA MAREKANI AMABAYO IKO FAR KWA MILES

View attachment 2285075
Akitoka Ukraine anakwenda wapi jibu kama linakuja.
 
Nenda YouTube ukasome historia ya haya Makombora ya Nyuklia ya Marekani,Tangu kusambaratika kwa Umoja wa Kissoviet hayajawahi Kupewa Promo make kitisho Cha Urusi dhidi ya NATO kilipunguzwa kwa 60% Kiuchumi na Kijeshi.

1.Titan II Nuclear Missile
2.Minuteman Nuclear Missile.

Hiyo ni Aina 2 TU Kati ya Aina 45 za Makombora ya Nyuklia ya Marekani kipindi Cha Vita baridi. Kila Aina ya Kombora kulikuwa na Makombora zaidi ya 500 ya Titan II,900 ya Minuteman. Hayo Ni Makombora ya ICBM (Intercontinental Ballistic Missiles).

Mpaka Sasa,Marekani haijatishia kutumia Makombora ya Nyuklia dhidi ya Urusi,Zaidi tunaona Urusi ikitishia kutumia Nyuklia dhidi ya NATO,Ukimya wa NATO kutishia kutumia Nyuklia dhidi ya Urusi Kama inavyofanya Urusi imechukuliwa Kama udhaifu wa NATO na watu wengi ambao Mimi nawaita Wasenge
Hizo ICBM za marekan(titan 2 na minuteman)i ni bora ulinganishe na ICBM za kichina(DonghFei 5 a.k.a DF-5, ambayo pia inawazidi).

Russian ICBM zimewatangulia mbele sana US na washirika wake. SATAN 2 inabeba vichwa/mabomu vya nuklia 10 mpaka 15(multiple warheads)(wakati minuteman III inabeba vichwa 3 tu) ambayo kila bomu linaweza lengwa sehemu tofauti(Multiple Individually-targeted Re-entry Vehicle a.k.a MIRV ) kwa vichwa vyote vitavyobebwa na missle ya urusi.

Kila kichwa cha nyuklia kibebwacho kinauwezo wa kuwa Hypersonic glide Vehicle (HGV), ambazo zinauwezo wa kufika Mach 20 mpaka 27 (mara 20 mpaka 27 ya spidi ya sauti, dongfei-5(china) inafika mach 25). Hii mzigo haina hata haja wa kuuelezea sana, maana hypersonic missile za kawaida tu zimeonesha ufanisi wake hivi karibuni. Na kwa mantiki hiyo, muda wa kurespond wa interceptors za marekani, mzigo utakuwa ushatua.

Satan 2 ipo katika kundi la Super Heavy ICBM, inauzito tani 200(kilo 200,000), sawa na magari 7 makubwa ya mizigo kila moja ikiwa na tani 30(kilo 30,000).

Mkuu, vita ya nyuklia haina mshindi, ila US na washirika wake, wataumia.
 
Wewe zuzu mbona hypersonic tu inawashinda....

Bloomber

US Hypersonic Missile Fails in Test in Fresh Setback for Program​

  • Pentagon says problem took place following missile ignition
  • China, Russia and North Korea pressing ahead with hypersonics
By
Jon Herskovitz and
Anthony Capaccio
+Follow
June 30, 2022, 6:20 AM GMT+3

A flight test of a hypersonic missile system in Hawaii ended in failure due to a problem that took place after ignition, the Department of Defense said, delivering a fresh blow to a program that has suffered stumbles.
It didn’t provide further details of what took place in the Wednesday test, but said in a statement sent by email “the Department remains confident that it is on track to field offensive and defensive hypersonic capabilities on target dates beginning in the early 2020s

Kila wakitengeneza Wana fail
 
Nani anayeuza mafuta Kwa magendoo mjinga kweli toka Lin Rusia akauza mafuta yake Kwa magendo au unaisi umoja WA ulaya na Marekani wakisusa kununua mafuta wengine wataacha kununua embu kakojoe ulale vizuri
Mwambie hili jukwaa kina hitaji watu wenye akili

Sense kwenye majukwaa Yao Kama MMU
Na celebrity Huku sio size yake

Nenda YouTube ukasome historia ya haya Makombora ya Nyuklia ya Marekani,Tangu kusambaratika kwa Umoja wa Kissoviet hayajawahi Kupewa Promo make kitisho Cha Urusi dhidi ya NATO kilipunguzwa kwa 60% Kiuchumi na Kijeshi.

1.Titan II Nuclear Missile
2.Minuteman Nuclear Missile.

Hiyo ni Aina 2 TU Kati ya Aina 45 za Makombora ya Nyuklia ya Marekani kipindi Cha Vita baridi. Kila Aina ya Kombora kulikuwa na Makombora zaidi ya 500 ya Titan II,900 ya Minuteman. Hayo Ni Makombora ya ICBM (Intercontinental Ballistic Missiles).

Mpaka Sasa,Marekani haijatishia kutumia Makombora ya Nyuklia dhidi ya Urusi,Zaidi tunaona Urusi ikitishia kutumia Nyuklia dhidi ya NATO,Ukimya wa NATO kutishia kutumia Nyuklia dhidi ya Urusi Kama inavyofanya Urusi imechukuliwa Kama udhaifu wa NATO na watu wengi ambao Mimi nawaita Wasenge
Muda mwingine mtumiage akili mkiandika... Marekani pamoja na ujanja wake wote Hana kibebeo Cha uhakika Cha kubebea mabomu yake. Ndio maana una muona Kila siku anaangaika kutest Hypersonic Missile. Kuwa na Bomu na kibebeo ni vitu viwili tofauti. Russia ana Kinga ya kuzuia mabomu yanayotembea mwendo wa mara 10 ya sauti hayo ma minute man sijui nini yanaonwa vzr tu yakija.
 
Hizo ICBM za marekan(titan 2 na minuteman)i ni bora ulinganishe na ICBM za kichina(DonghFei 5 a.k.a DF-5, ambayo pia inawazidi).

Russian ICBM zimewatangulia mbele sana US na washirika wake. SATAN 2 inabeba vichwa/mabomu vya nuklia 10 mpaka 15(multiple warheads)(wakati minuteman III inabeba vichwa 3 tu) ambayo kila bomu linaweza lengwa sehemu tofauti(Multiple Individually-targeted Re-entry Vehicle a.k.a MIRV ) kwa vichwa vyote vitavyobebwa na missle ya urusi.

Kila kichwa cha nyuklia kibebwacho kinauwezo wa kuwa Hypersonic glide Vehicle (HGV), ambazo zinauwezo wa kufika Mach 20 mpaka 27 (mara 20 mpaka 27 ya spidi ya sauti, dongfei-5(china) inafika mach 25). Hii mzigo haina hata haja wa kuuelezea sana, maana hypersonic missile za kawaida tu zimeonesha ufanisi wake hivi karibuni. Na kwa mantiki hiyo, muda wa kurespond wa interceptors za marekani, mzigo utakuwa ushatua.

Satan 2 ipo katika kundi la Super Heavy ICBM, inauzito tani 200(kilo 200,000), sawa na magari 7 makubwa ya mizigo kila moja ikiwa na tani 30(kilo 30,000).

Mkuu, vita ya nyuklia haina mshindi, ila US na washirika wake, wataumia.
Mkuu inasemekana robo tatu ya nuclear warheads zilizopo duniani zinatosha kabisa kukomesha maisha duniani. Yaani hakuna kiumbe kitaishi endapo sehemu hiyo ya NUKE itatumika.
#Wayamalize kwa amani
 
Back
Top Bottom